Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, Apr 9, 2011.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Wakuu,

  Nipo maeneo ambayo huenda nikawapasha kidogo juu ya nini kinaendelea hapa, naweza kuwa natoweka online lakini nitawapa dondoo za kinachoendelea.

  Wakuu hapa wanajadili nini kifanyike dhidi ya wanaokipaka matope chama, hapa namaanisha watuhumiwa wa ufisadi pamoja na mzee Makamba.

  [​IMG]

  ==============

  UPDATES:

  Wajumbe wapya wa NEC wa kuteuliwa na Mwenyekiti ni Nchimbi, Januari Makamba, Anna Abdallah, Ali Juma Shamhuna, Peter Kisumo, Wilson Mukama na Lameck Mwigulu.

  Katibu Mkuu mpya wa CCM atakuwa ni Wilson Mukama, Naibu wake atakuwa ni John Chiligati, Fedha atakuwa ni Mwigulu, Nape atakuwa Uenezi, Mambo ya nje ni Januari Makamba.

  Hussein Mwinyi, Mbarawa, Omar Yusuf, Seif Khatib, Samia, Maua Daftari, Meghji, Kinana, Lukuvi na Mwenyekiti wa Kagera wa CCM (Mama Buhie), Kigoda, Wassira na Pindi Chana - CC

  ZAIDI:
  Wajumbe Wa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa wakipiga Kura Kuchagua Wajumbe Wa Kamati Kuu Ya CCM Mjini Dodoma


  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura wakati wa kuchagua wajumbe wapya wa Kamati kuu ya CCM mjini Dodoma leo jioni.Kushoto ni makamu wa CCM bara Pius Msekwa na watatu kulia ni aliyekuwa katibu mkuu wa CCM Yusuf Makamba.
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete,aliyekuwa katibu mkuu wa CCM Yusuf Rajab Makamba na Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein wakipiga kura kuchagua wajumbe wapya wa Kamati kuu ya CCM wakati wa mkutano wa Halmashauri kuu ya CCM uliofanyika mjini Dodoma leo jioni.
  [​IMG]
  Mzee Kingunge akipiga kura yake katika uchaguzi huo
  [​IMG]
  Baadhi ya wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCM wakipiga kura kuchagua wajumbe wa Kamati kuu ya CCM mjini Dodoma leo jioni
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martine Shigella akipiga kura yake.Picha na Freddy Maro-IKULU​
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Go ahead..
   
 3. G

  Godama Member

  #3
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuua asante kwa taarifa na ufatilia. endelea kutujuza yanayoendelea
   
 4. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  tujuze plz.
   
 5. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Consultant aliyepewa kazi ya kufuatilia sababu ya JK kupata ushindi mwembamba kawasilisha ripoti nayo imetoa pendekezo la watuhumiwa wa ufisadi kutoswa kwani ndo njia pekee ya kurejesha imani kwa wananchi
   
 6. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  JK anaonekana kuwa na hasira tokana na kinachoendelea ndani ya chama, Rostam kaomba radhi kuwa endapo kuna sehemu kakosea basi wamsamehe
   
 7. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Itakuwa too little, too late, hata hivyo.
   
 8. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,557
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Kwa nyekundu ,ni nani huyo.
  Kama upo ndani,kwamba LOWASA.ROSTAM.KARAMAGI,MSABAHA,CHENGE watoswe CCM? Dhubutu!!.Hiyo ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la Sindano.
   
 9. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Kwa utetezi wa Rostam na wenzake ni kuwa mbona majimboni mwao walishinda kwa ushindi wa Tsunami na JK alipata ushindi mzito sana? Anadai si sahihi wao kudaiwa kuwa chanzo cha kupungua kura za JK uchaguzi uliopita
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tupo pamoja mkuu.
   
 11. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Go on plz..
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hili hawaja Copy and Paste kweli kutoka CDM kutumia ma-consultants kwenye mambo ya kitaalam kuliko kutumia mawazo ya miaka ya 47????????
   
 13. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hapo safi sana
   
 14. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Ni CC ambayo ilianza jana ikaendelea leo na mchana wamepumzika sasa, hadi saa moja usiku watakapoendelea.

  Kifupi hayo ndo niloona niwafahamishe. Usiku nitajitahidi kuwafahamisha kitakachoendelea
   
 15. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hapa patamu
   
 16. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Wawaache tu ili waanguke vizuri 2015.
   
 17. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Heee asamehewe? kweli RA pamoja na utajiri wake wote lakini hana akili kabisa....yaani baada ya kusema jamani imetosha na sasa najitoa rasmi kwenye siasa,na badala yake anaomba misamaha ili aendelee kuliibia Taifa? yaani mikashifa yote hiyo anayoipata kutoka kwa wananchi bado hatosheki tu? sheenz type ccm
   
 18. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  NEC nayo leo imeahirishwa hadi kesho na JK anayo ajenda nzito mwenyewe japo Msekwa ndiye anao utangulizi.

  Maelezo ya kwanza yalihusiana na CC naomba nisiwachanganye kwa title ya thread
   
 19. E

  Emma505 Member

  #19
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baba endelea wengi tunahitaji kujua yaliyomo huko. Well done!
   
 20. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Hawana ubavu wa kumtosa R.A. Kwa sababu ndio mfadhili wao, their days are numbered.
   
Loading...