Nakumbuka katika sherehe za kuchangia kwaya moja Sita alitamka kuwa nchi inayumbishwa na mafisadi wasiozidi kumi ila akaonya kuwa mwisho wao itakuwa kabla ya 2012. Je alijua hatua za zitakazochukuliwa na chama kwenye kikao cha wiki iliyopita? Kama alijua basi nasema uamuzi wa CCM ni ushindi wa kambi ya Sita