Chadema: Tunaongoza Tanzania Kwa Miaka 200 Ijayo.....CCM Is Here To Stay

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
UVCCM tuko tayari kushambulia pamoja na kujibu hoja za chadema ambazo zimepitwa na wakati. JK akiwa Rubani, 2012 ni mwaka wetu, kwani kasi ya CDM itakuwa imekwisha na wananchi kuwatambua kuwa wababaishaji.... Ma-ropes ametoka, mambo mswano. Tunaongoza Tanzania kwa miaka 200 Ijayo​
 
Hivi nia na lengo la CCM ni kuongoza Tanzania kwa muda mrefu au kujenga taifa na kuboresha maisha ya watanzania wote? Mbona huyo rubani wenu hajavua gamba?
 
Kichwa cha habari, habari yenyewe ni ush......zi mtupu! Havieleweki ni utumbo gani, Utadhani vimeandikwa na mtu wa miaka 6!, kama na we ni uvccm basi hapo uvccm hamna kitu!
 
Thread yenyewe imekaa kimbea. Kwanza, inaonekana kama vile mwanzishaji wa thread amekurupushwa sehemu akijikuta ndoto zake azileta kwenye forum. Pili, content ya thread sasa; Inaonekana mnanyoosha kidole kwingine tofauti na panapostahili. Tatizo sio CDM tatizo ni matatizo ya watanzania, uchumi umewashinda, ahadi mlizozitoa hazitekelezeki (Hazina tofauti na shopping list). Ushauri tu mkitaka kuendelea kuwepo TIMIZENI AHADI YA MAISHA BORA KWA WATANZANIA. Ila kama Rubani mwenyewe ndo huyu inawezekana 2015 ukawa ndo mwisho wenu tuombe uzima.
 
Kichwa cha habari, habari yenyewe ni ush......zi mtupu! Havieleweki ni utumbo gani, Utadhani vimeandikwa na mtu wa miaka 6!, kama na we ni uvccm basi hapo uvccm hamna kitu!
Hata mimi ninaona title na maelezo ni vitu viwili tofauti, halafu mtu kama huyu anadai kuwa na uwezo wa kuongoza nchi!
 
Mfa maji................ Heheeeeeee! Mbavu zangu miye! Dalili ya Mvua....... Hahahahahah! :love:
 
Hakuna Gamba lolote mlilojivua CCM bado kwenye gamba jipya mna mafisadi wengi au vibaraka na mashabiki wa mafisadi hao, mfano

1. Abdallahh Kigoda ni fisadi aliyekuwa dalali wa rasilimali zetu pasipo kuwa na maslahi ya nchi

2. January Makamba ni mfuasi mzuri wa Rostam na Lowassa yeye na baba yake, hata dada yake Mwamvita anapewa shavu pale Vodacom na Rostam hivyo hawezi kwenda knyume nae

3. Chiligati alikuwa kwenye sekretariat iliyotakiwa kujiuzulu na e akarudi tena hakuna gamba lilovuka hapa

4. zakhia Meghji umesahau Uozo na ufisadi akiwa waziri wa maliasili na fedha?watanzania daima tutamsahau kutuwekea kodi ya Road Lincence wakati barabara zenyewe hazipo?mzigo kwetu na kutupa lundo la makodi ya kulipa?
hao ni kwa wachache tu
 
Back
Top Bottom