Mshauri wa JK mambo ya siasa afikishwa mbele ya baraza la usuluhishi.

msambaru

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
245
109
Waungwana naweka hoja hii mbele yetu tujuzane, binafsi nimepigwa butwaa eti mshauri wa RAHISI JK masuala ya siasa katiwa nguvuni kwa kushindwa kuweka wazi mali na madeni aliyonayo si mwizi huyu? je anamshauri nini JK kama sio dili chafu tupu?
 
Sasa ndio waweza ona kuwa hii kuvua gamba natakiwa kuanzia hapo ikulu. Nimesoma maelezo ya huyu jamaa yaani inatia kinyaa kabisa eti barua imekuja ikulu hajaipata wakati magazeti yameandika kwa nini asiende mwenyewe? Huyu anaficha jambo na nijuavyo ndiye anayeshika mali za mkuu sasa subiri CDM ibebe nchi watakiona hawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom