kama ni footbal, Chadema wamesajili Torres kwenye dirisha dogo kwa Prof Safari

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
What Chelsea's Fernando Torres wouldn't give for a goal celebration

The £50m striker has lost the sense of himself as one of the elite strikers and is having to recover it under fearsome scruting.

wengi wakiamini ataisaidia timu ya Chelsea. lkn kinyume chake
Hii ni sawa na Prof safari. Licha ya kuwa na nguvu Cuf hasa ktk mambo ya kisheria na kukisaidi chama. Lkn inaonekana hawezi kufanya kazi kubwa ndani ya Chadema
 
:yield:
..........Just keep open your eyes and you will soon see.....

CDM is a platform of intelligent and determined individuals......soon utamuona aki-take full-fledge kwenye ujenzi wa chama na falsafa ya nguvu ya umma...........I apprecited him when he was in CUF and i still, even more, hold a strong faith in Safari, he is not a "simple-mind" fella and always when he come up he come with something valuable.............and that is what he is doing now, kobe alieinama
 
What Chelsea's Fernando Torres wouldn't give for a goal celebration

The £50m striker has lost the sense of himself as one of the elite strikers and is having to recover it under fearsome scruting.

wengi wakiamini ataisaidia timu ya Chelsea. lkn kinyume chake
Hii ni sawa na Prof safari. Licha ya kuwa na nguvu Cuf hasa ktk mambo ya kisheria na kukisaidi chama. Lkn inaonekana hawezi kufanya kazi kubwa ndani ya Chadema

Mfano wako ni mfu.Chelsea walimnunua Torres,Chadema hawamkununua Profesa Safari bali amejiunga na chama hicho kwa mapenzi yake binafsi.

Halafu kipi kinachokufanya uone hawezi kufanya kazi kubwa huko Chadema?Hata kama kitendo cha mwanazuoni huoy kuhamia Chadema kimukuuma unapaswa kumtendea haki kwa angalau kuelewa kuwauamuzi wake huo ni rational.Alijiondoa CUF,akasoma upepo wa kisiasa kabla ya kuamua kujiunga na chama hicho kwa mapenzi yake mwenyewe.

Msitake kupoza maumivu yenu ya kujikwangua magamba ya kenge kwa kuombea mabaya kwa Chadema.You need to focus kwenye magamba yenu kabla ya kurukia yasiyowahusu.

By the way hata kama Prof Safari hatakuwa na manufaa huko Chadema,kinachokuwasha ni kipi hasa?
 
Prof alitakiwa afanye nini akifika cdm ambacho hajafanya? Saa nyingine ukitumwa kubeba angalia ulichotumwa kubeba ndugu yangu! Aliyekutuma hatanuka! Ni wewe mbebaji!
 
mzeewahoja huna hoja, we tulia tu, wenye mapenzi mema na nchi wote watahamia cdm, umemsahau Rwakatale?, yupo anapiga kazi kama kawaida!, mwenye akili hawezi kukaa chama cha madictator watu 2 for 25 years!
 
Msiwe mnaropoka Hoja tu ulitarajia afike tu aanze kurukia Mambo?? Msomi kama Safari lazima atulie..asome mazingira,kanuni,Sera na Tratibu za Chama.,,,,,Then atakabidhiwa Rungu...Just wait!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom