Sitta kumbe ni nguvu ya soda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitta kumbe ni nguvu ya soda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Najijua, Apr 14, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  naomba kuwasilisha mada ya kusema spika mstaafu, waziri wa afrika mashariki na mbunge wa urambo mashariki mh sana samuel sitta naye kumbe ni nguvu ya soda.

  nadiriki kusema haya kwa kufuatia ripoti iliyotolewa na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kwa kuhusisha jimbo lake kuwa kinara wa kulipa mishahara hewa na ufisadi wa fedha za serikali, wote tunakumbuka bunge lilokwisha sitta aliongoza vita dhidi ya ufisadi na kusababisha serikali kuvunjika 2008 na leo ccm kujivua gamba. Mapambano yote haya anayo yafanya amesahau kupambana na vita hii nyumbani kwake au ndio kusema nguvu ya soda? Au amesahau usemi wa kizungu usemao "go east go west home is the best"??????

  kwa wale wliofika urambo na wale ambao hawajafika urambo ni miongoni mwa maeneo yenye maendeleo duni katika nchi hii japo ndio mzalishaji mkuu wa tumbaku ambalo zao hili hupelekea viwanda vya sigara kuongoza kwa kulipa kodi kubwa serikalini, kwa mvua zinazo endelea sasa hivi inaweza kukuchukua zaidi ya masaa manne kufika urambo toka tabora mjini japo ni kilomita 90 tu, hii yote ni kutokana na barabara mbovu ambapo mpaka mtu ana zeeka au kufa hajawahi kuona lami huko

  mzee sitta acha nguvu ya soda au unatafuta cheap popularity?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Blah blah blah. Usiwe na wasi nakuja kukutolea posa, unaonekana mke mzuri.
   
 3. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Labda na yeye ni gamba! Maana hili bomu lilirushwa na Dr. Slaa wakati wa kampeni akiwa kule Bunda!
   
Loading...