uhusiano mbaya kati ya familia ya Nyerere na Familia ya Karume unatokana nanini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

uhusiano mbaya kati ya familia ya Nyerere na Familia ya Karume unatokana nanini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Apr 13, 2011.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sijawahi kuwaona mama karume akibadilishana mawazo au kutembelea na mama nyerere.w
  sijawahi kumuona mwanasiasa machachari Makongoro Nyerere kukutana na familia ya Karume.
  MAMA KARUME HUMUONA SANA AKIWA KARIBU NAYOUNG AFRICA na sio Familia ya baba wa taifa.
  jee nini kimejificha ndani yake?
   
 2. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mama nyerere ni kafiri lkn fatma karume ni muislam. Halafu inasemekana nyerere alihusika ktk kifo cha karume.
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hapana, mama Karume ni kafiri, mama Nyerere ni Mkristo! Kwani kwenye Katiba imeandikwa lazima watembeleane? Na unapojenga hoja kwenye "inasemekana" uwe makini, maana huna uhakika!
   
 4. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  achana udini. kwani kafiri maana yake nini? neno la kiarabu asiemjua mungu wa waislam. sasa nani asiemjua mungu wa waislam
   
 5. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  One Patriarch assassinating another in order to remain president for a quarter century perhaps?! Just a thought..
   
 6. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,818
  Likes Received: 1,166
  Trophy Points: 280
  hivi ukitaka kumtusi shoga unasemaje vile?:help:
   
 7. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Si ufunge safari tu ukamuulize pale Butiama/Zenji, mbona unataka kuleta sokomoko hapa? Issue za kibinafsi ambazo hazina tija kwa maslahi ya walipa kodi. Kama huna issue tembelea You tube kuna movie kibao.
   
 8. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Nadhani wao kazi walimaliza walimaliz zamani, enzi za mwalim kulikuwa na meli yaenda zanzibar au kuja bara wakati pasaka au iddi, kama sikosei ulikuwa ni ushauri akina mama hawa, kwa sasa hakuna tena
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Karume alikuwa Msomi aliyesoma hadi UK na kuwa na heshima kubwa sana kwa watu maarufu duniani ukianzia na Malkia Elizabeth, Olof Palme (MP Sweden), Uk PMs, USA Presidents, Mandela Ect.......

  Nyerere alikuwa ni BAHARIA TU na alikuwa na ugomvi mkubwa sana na Juma Balo, kisa ni kwamba siku moja mkewe akiwa kabeba chai na aliposikia sauti ya Juma Balo, kikombe kikaanguka. Nyerere akajua hii ipo maneno na wakaanza ugomvi hadi Juma Balo akakimbilia Kenya.
   
Loading...