Report ya milipuko gongo la mboto inatoka lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Report ya milipuko gongo la mboto inatoka lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by POMPO, Apr 13, 2011.

 1. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wakuu, hivi ile report ya milipuko ya Gongo la mboto "GOMZ" itakuwa tayari? Maana waziri wa ulinzi Mwinyi alisema anaisubiri kisha atachukua uamuzi? I dont know when it will be out, ama tayari ilishatoka?
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Funika kombe mwana haramu apite, watanzania wako loliondo
   
Loading...