Nimejaribu kujiuliza sikupata majibu, nikaona nilete hapa jamvini. Hivi kuna tatizo gani kwa kiongozi kwenye chama au taasisi fulani kuongoza watu wanaomzidi mshahara?
Mfano, uwe waziri lakini...
Juzi juzi Mheshimiwa Kikwete alifanya Semina Elekezi kwa Mawaziri wake na katika Semina hiyo alidai kwamba kila Wizara ina Msemaji wa wake na ni vizuri wawe wanajibu kila hoja inayotolewa dhidi...
Jamani kwa kweli baba wa taifa alikuwa na malengo na nia nzuri sana kwa watanzania. Ebu tuziangalie imani za chama chetu cha Mapinduzi. Nita nukuu....
Chama kinaamini kwamba:-
Binadamu wote ni...
Nimekumbuka kile alichosema Tundu Lissu pale mjengoni kuwa wakuu wa wilaya na mikoa ni wanasiasa na hivo hawapaswi kuingia kwenye kamati za maadili ya mahakama zetu,nakubaliana na hili kwa dhati...
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona...
..Taarifa za uhakika tulizo nazo ni kwamba kuna mkakati maalum wa kumbambikizia kesi ya madawa ya kulevya Mhe. Godbless Lema mbunge wa jimbo la Arusha Mjini.
Katika mkakati huo watu...
Nimepata habari kutoka kwa swahiba wangu aliye Bukoba kwambapicha za JK zilizokuwa zime4bandikwa kwenye nyumba ambazo ni maduka na sehemu nyingine za biashara zimeanza kuondolewa na wenye biashara...
Written by Stonetown (Kiongozi) // 12/05/2011 // Habari // 3 Comments
Ukweli kuhusu vibanda vilivyojengwa vya wafanyabiashara ya vinyago eneo la Pwani Mchangani, Kaskazini Unguja ni kama hivi...
Kuna wakati najiuliza hivi chama chetu kinachoongoza kimechanganyikiwa ?
Wajibu wa kukamata na kuwashitaki watu wote wanaovunja sheria ni wa serikali,inatia huzuni pale ambapo anayetakiwa...
Itv habari leo asubuhi
Wa windsurf Nape na Chiligati wakiutubia umati mdogo wa wananchi ambao idadi kubwa Yao walikuwa wamevaa sare za ccm. Idadi hiyo ni ndogo sana ukilinganisha na umma...
Ukweli kuhusu vibanda vilivyojengwa vya wafanyabiashara ya vinyago eneo la Pwani Mchangani, Kaskazini Unguja ni kama hivi: Ukweli ambao SMZ-GNU hautaki kuusema kwa faida yao na matakwa yao...
Wana-JF,
Nimegundua tovuti mbili muhimu kwa masuala ya fedha na uchumi hapa nchini hazipatikani kwa kama wiki moja sasa.
Tovuti hizo ni za Wizara ya Fedha - http://www.mof.go.tz na Benki Kuu...
TUHUMA za ufisadi zinazoikabili serikali zimechukua sura mpya baada ya Rais Jakaya Kikwete kuagiza ripoti ya tathmini ya rushwa ianikwe mbele ya umma ili uweze kufahamu kabla ya kujadiliwa na...
Sikiliza, tazama mwenyewe kwenye hii video
Angalizo kuna baadhi ya picha (Scene) kwa yaliyotokea pale siwezi kuzionesha kwenye TV au hii Youtube yenye ID ya jina langu kwa sababu maalum ikiwemo...
Nilianza kusikia kwamba 'kujivua gamba' kwa ccm, ni kuwaengua viongozi watatu wa ngazi za juu za chama hicho (majina yalitajwa), na walipewa muda wa siku 90 kufanya hivyo. Baadae nikawa nasoma...
Nimeckia serikali (CCM) baada ya kuwachangisha wana Mbeya mchango wa uzinduzi mbio za Mwenge zaidi ya milion 100, sasa imehamishia uzinduzi huo Butiama kwa kigezo cha kumuenzi Nyerere na miaka 50...
Wananchi wa Nyamagana Mkoani Mwanza, wamekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuacha kutumia ofisi ya Meya wa Jiji la Mwanza kama 'kijiwe' wamesema ofisi hiyo iachwe itumikie wana...
Kwa sisi wakristo tuna mkumbuka Yesu alipoingia hekaluni alikuta watu wamepageuza mahali pa biashara akakasirika sana akaanza kutupa kila kitu na kuwakemea kuwa wasiigeuze nyumba ya sala kuwa...
Makamanda cha chama cha demokrasia na maendeleo kuvamia jimbo la bibi mkola Njombe.
Hata kabla ya makamanda kuanza kazi ya kumwaga upupu tayari maelfu ya wabena na makabila yanayoishi hapa Njombe...