CCM kuhamishia uzinduzi mbio za Mwenge Butiama toka Mbeya na woga wa kisiasa.

Kwamex

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
378
96
Nimeckia serikali (CCM) baada ya kuwachangisha wana Mbeya mchango wa uzinduzi mbio za Mwenge zaidi ya milion 100, sasa imehamishia uzinduzi huo Butiama kwa kigezo cha kumuenzi Nyerere na miaka 50 ya uhuru....Nionavyo mimi ni serikali ya CCM kuogopa hali ya kisiasa iliyopo Mbeya sahvi hasa kuzinduka kwa raia wa Mbeya ambao sahvi huwezi ukawaambia waende kushangaa Mwenge waache shughuli zao za kuwaletea maendeleo.
 
Mkuu sio Mil 100 ni zaidi ya Mil 200 kwa sababu zilikuwaq zinahitajika kama 350 hivi na serikali kuu ingetoa 10. kiasi kilichobaki kimechangwa na Wana Mbeya na michango ilikuwa imeshakamilika ilibaki kuwashwa tu mwnege hiyo tarehe 29
 
Hivi huu mwenge una umuhimu gani kwa Tanzania ya leo? Na wanaweza kutuambia sisi wananchi bajeti iliyotengwa kwa ajili ya kutembezaa hiki kibatari? Nchi omba omba na mkopaji asie na aibu kama Tanzania -inayokopa hata kwenye banks za ndani ili ilipe mishahara ya wafanyakazi huu mwenge unasaidia nini? Hawa wakubwa wanaweza kutupa cost-benefit analysis? Miaka ya nyuma mwenge ulikuwa nyenzo muhimu ya kupeleka ujumbe kwa wananchi, sasa hivi tuna emails, facebook, twitter, tea party & mikutano ya hadhara (if you fancy a face to face conversation). Kazi ya huu mwenge ni haipo tena - uwekwe kwenye museum for historical purposes. achane kutulia kodi kununua mafuta ya taa ya kuwasha kibatari.
 
Dah! Ahsante kwa data kiongozi sa sijui huko Butiama nao watachangishwa zifikie hzo....hizi mbio za Mwenge ni wizi mwingine mkubwa kwa raia.
 
Watapakimbia kila sehemu palipo na CDM mwisho wa siku utasikia wanauwashia pale lumumba na kuuzimia magogoni!

Nimeipenda hii, ikiwezekana waurudishe tu juu ya mlima Kilimanjaro viongozi wawe wanapanda kuuwasha na kuuzimia hukohuko.
 
Nimeckia serikali (CCM) baada ya kuwachangisha wana Mbeya mchango wa uzinduzi mbio za Mwenge zaidi ya milion 100, sasa imehamishia uzinduzi huo Butiama kwa kigezo cha kumuenzi Nyerere na miaka 50 ya uhuru....Nionavyo mimi ni serikali ya CCM kuogopa hali ya kisiasa iliyopo Mbeya sahvi hasa kuzinduka kwa raia wa Mbeya ambao sahvi huwezi ukawaambia waende kushangaa Mwenge waache shughuli zao za kuwaletea maendeleo.

Mbona hata huko Butiama Chadema walikuwa huko kwa maandamano mwezi uliopita? au maandamano yakiisha na wakaondoka ndio moto waliouwasha unapoa? Bila shaka huko njiani watakuwa wamefungua matawi na cdm inaendelea kusimama.
 
Hivi huu mwenge una umuhimu gani kwa Tanzania ya leo? Na wanaweza kutuambia sisi wananchi bajeti iliyotengwa kwa ajili ya kutembezaa hiki kibatari? Nchi omba omba na mkopaji asie na aibu kama Tanzania -inayokopa hata kwenye banks za ndani ili ilipe mishahara ya wafanyakazi huu mwenge unasaidia nini? Hawa wakubwa wanaweza kutupa cost-benefit analysis? Miaka ya nyuma mwenge ulikuwa nyenzo muhimu ya kupeleka ujumbe kwa wananchi, sasa hivi tuna emails, facebook, twitter, tea party & mikutano ya hadhara (if you fancy a face to face conversation). Kazi ya huu mwenge ni haipo tena - uwekwe kwenye museum for historical purposes. achane kutulia kodi kununua mafuta ya taa ya kuwasha kibatari.

Na mikusanyiko yake ni chanzo kingine cha maambukizi ya UKIMWI. Nadhani sasa inabidi raia tuanzishe harakati za dhati kupinga hizi mbio za Mwenge inatosha tu mwenge kubaki historia.
 
Mbona hata huko Butiama Chadema walikuwa huko kwa maandamano mwezi uliopita? au maandamano yakiisha na wakaondoka ndio moto waliouwasha unapoa? Bila shaka huko njiani watakuwa wamefungua matawi na cdm inaendelea kusimama.

Nadhani huko watadanganya raia kuhusu Nyerere zaidi kuliko mwenge, kwa hyo jina la Nyerere angalau litabeba mbio za Mwenge na watu kuvutika zaidi na Nyerere coz anauza kwa raia wote bila kujali itikad za vyama.
 
kama kawaida yetu, another way of wasting our precious and scarce resources. siju ilini tutakuwa more responsible
 
kiukweli Mwenge hauna significance these days. kuukimbiza nchi nzima kwa kodi za wananchi walio hoi kimaisha ni upuuzi mkubwa sana.
cjui kwnn ccm wasiuweke makumbusho sasa. mambo ya ajabu sana, inashangaza kuona vjana kama nauye wanashabikia kitu kama hii ya kipuuzi kwa sasa
 
Back
Top Bottom