Eti wanaohudhururia mikutano ya chadema nao ni umma!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti wanaohudhururia mikutano ya chadema nao ni umma!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tolowski, May 14, 2011.

 1. T

  Tolowski Senior Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!
   
 2. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Waliochoka na maisha ndio wanaotafuta matumaini kwani wamenyonywa sana na wakoloni weusi na kuwepo kwao kwenye maandamano na mikutano ya chadema ndio tumaini lao.
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  May 14, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,240
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Kuna post zaidi ya tatu umefahamishwa tafsiri ya umma na bahati nzuri au mbaya we ni limbukeni wa fikra mgando!

  Jamii iliyodhurumiwa huchakaa kabisa kimwili,kiroho na kiakili! Labda nikufahamishe kuwa ktk jamii hiyo iliyodhurumika na kuchoka kundi linalo badilika kiakili kwa haraka ni kundi la vijana, na ndiyo linalobeba dhamana ya ukombozi wa taifa hili!!!!
   
 4. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Usisahau kuwa wavuta bangi wanapiga kura pia!
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Haya watanzania oneni sasa, hawa ndiyo watu walioajiriwa na Mukama kuja kuitetea CCM, watu tunazungumzia msiba wa nchi kufisadiwa wao wanazungumzia bange. RIP CCM
   
 6. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ni heri uchi wa mnyama kuliko uchi wa Akili ya Tolowski.
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Huu sasa uchokozi, ingawa si mshabiki wa chadema, yangu macho.
   
 8. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #8
  May 14, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kweli humu watu wamedata
   
 9. Josephine

  Josephine Verified User

  #9
  May 14, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Baba wa Binguni natubu kwaajili ya watu kama Tolowski,sawasawa na neno lako Njooni tusemezane ijapokuwa dhambi zenu ni nyekundu kama damu nitazisafisha na kuwa nyeupe kama theruji,baba si kwa akili zake wala mawazo yake anayasema haya bali anahitaji rehema zako na utukufu wako na huruma yako isiyo na kiwango imshukie.Amen.

  Baba litazame pia taifa hilo la watu waliopondeka moyo na kukosa matumaini mbele ya watesi wao wanaonekana machafuko lakini kwako baba kila roho ni yathamani mbele zako usiwapite baba,kasikie kilio chao,unapowadhuru wengine baba waguse nawao,kama ulivyosema kwa wana wa Israel Basi sema na kwetu pia.Adui zetu wametuzunguka wanaunguruma kama simba.Njaa,maisha magumu,kukata tamaa vinakaribia kutuzidi nguvu baba tusaidie.
   
 10. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #10
  May 14, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Bora mimi na Kisomo changu cha Kata! We mwenzangu umezidi,, khaa!
   
 11. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #11
  May 14, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Halafu wanatafuta washauri wawaeleze kwa nini hawapendwi! Haya ndo mambo yanayofanya mchukiwe, mmezidi JEURI.
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  May 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hv ukishakuwa mwanaccm unapoteza kabisa uwezo wa kufikiri? Au wanafanya makusudi, mtu anaongelea bange lakin hajiuliz kwann vijana wanavuta bange, kiama chenu kimèfika tutukanen sana tena ungeongeza kwamba ni vijana waliopata zero form 4
   
 13. O

  Omr JF-Expert Member

  #13
  May 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi nashaka hata wanacdm humu ni wale wale aliowataja tolowski.
   
 14. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #14
  May 14, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Will the real fisadi puppets please stand up!

  Huku ndani kuna wanacdm waliojitambulisha kwa majina, Zitto,Regia,mtei , slaa and Ben amongst others hawa ni according to u and Tolowski 'Bangez ?'

  Will the real fisadi puppets pls stand up, pls stand up!
   
 15. O

  Omr JF-Expert Member

  #15
  May 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ^Na wewe ni nani?
   
 16. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #16
  May 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Niko Arusha lakini sitakujibu maana kuna wenye maneno makali ya kukujibu wanakuja
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  May 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Unbeliavable! Tolowski what's going on dear? Hivi kweli Watanzania tumefikia hatua ya kubaguana kiasi hiki? kwamba vijana wasio na kazi sio binadamu? Katika context ya siasa za Tanzania umma unatumika kumaanisha wananchi - hususan wapiga kura. Haijawahi kutokea katika historia ya nchi yeyote (Tanzania included) kwamba kati ya wapiga kura kuna nyani, tumbili, kuku na the likes. Ni umma, kwa maana ya binadamu -raia wa mahali husika mwenye kutimiza masharti ndio anapiga kura.

  Sasa, kama Arusha ina vijana wavuta bangi ambao kwa tasfiri yako si umma (si binadamu) kwa nini Batilda alikuwa anagombea kiti cha ubunge Arusha? Kwa nini ccm walimwaga hela ili mgembea wao achaguliwe? Yule meya wa kuchonga anaongoza sungura? Ni kitu gani hasa kimesababisha hawa vijana wakavuta bangi? Na kwa nini vijana hawana kazi? Naomba nikukumbushe, hakuna mzazi anatamani mtoto wake akiwa mkubwa awe mvuta bangi, muuza machungwa barabarani, muokota chupa, msukuma mkokoteni au hata muuza viberiti ubungo mataa.

  Ni utawala mbovu ndio unawataka kuwapeleka kuzimu na ndio maana 'kwa ujasiri na ubunifu' wa kujitafitia ajira basi wanafanya hivyo. Inawezekana kabisa kwa kuuza viberiti hawa vijana hawatakaa wapate hela za kutosha na kujenga makazi yao karibu na wewe huko masaki au karibu na ile nyumba yako uliyompangisha 'mzungu' Oysterbay! Ila wanalipa bill zao kwa jasho lao tena jasho zito! the fact that you wrote this gabbage says more about you that it says about vijana wa Tanzania. You should be ashamed of yourself and on behalf of your parents I sincerely apoligise to all Tanzanian vijana for bringing into this planet such a useless cow!
   
 18. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #18
  May 14, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0


  Join Date : 28th April 2011
  Posts : 45
  Thanks 0Thanked 3 Times in 2 Posts

  Rep Power : 0

  Ni wazi mnaeleweka sasa kwa agenda ya kuokoa dau linalozama hadi umeanza matusi kuwa CDM ina "nguvu ya wavuta bange" This can only come from an ass.
   
 19. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #19
  May 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwenye bold mkuu
  Unaonaje kama ukituomba msamaha watanzania kwa heshima ya jamvi, manake kuwaita watz kwa maelfu yao eti wavuta bangi huoni kuwa umekosa nidhani na ninaamini hata nyumbani kwenu kuna wengu tu wanaenda kwenye mikutano ya cdm kuliko ya chama chetu je nao wavuta bangi?? Please kama wewe ni mstaarabu umekosea na tutake radhi kaka
   
 20. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #20
  May 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  Kwani umma ni kitu gani?Ama umeishia madrassa peke yake?Huwa najiuliza sana na elimu inayotolewa Tanzania nyakati hizi.Huwezi kutambua kuwa umma wa watanzania una consist jamii za tofauti kama ulivyozitaja hapo juu?
  Ama umma kwa tafsiri yako ni nini?
  Nimegundua kuwa elimu yetu bongo imeshuka sana coz wachangiaji wengi humu ambao ni kizazi hiki kipya amabacho ni production ya hizi elimu za kata ni vilazas wa kutupwa,wanaonyesha ufinyu wa hali ya juu wa uchambuzi na utambuzi.Sasa tutakaa tuweze kujitawala with mindsets kama zenu?
   
Loading...