Mkullo anamuogopa Zitto? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkullo anamuogopa Zitto?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dar_Millionaire, May 13, 2011.

 1. Dar_Millionaire

  Dar_Millionaire JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wana-JF,

  Nimegundua tovuti mbili muhimu kwa masuala ya fedha na uchumi hapa nchini hazipatikani kwa kama wiki moja sasa.

  Tovuti hizo ni za Wizara ya Fedha - http://www.mof.go.tz na Benki Kuu http://www.bot-tz.org

  Sina uhakika kwa nini tovuti hizi nyeti zimepotea hewani. Isije ikawa tunakosa data kutokana na vita inayoendelea kati ya Zitto na Mkullo.

  Sitaki kuamini kwamba taasisi hizi zimekosa wataalam wa kuhakikisha tovuti zao ziko hewani muda wote.
   
 2. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  bot inapatikana
   
 3. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huiyo mkolo ni muiungo mie ni mfanyakazi wa serikali hii na nimelipwa mshahara wa April kwenye tarehe anaazosema Zitto huo ndi ukweli wenyewe maneno ya mkulo kuwa amelipa salaries 22/04 ni UONGO (BOLD and UNDERLINED)
   
 4. Dar_Millionaire

  Dar_Millionaire JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2011
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu mi bado siipati bwana. Inaniambia:

  "The connection has timed out. The server at Bank of Tanzania (BOT): Home Page : Benki Kuu ya Tanzania is taking too long to respond."

  Labda kuna mgao wa tovuti - sehemu zingine zinapatikana kwingine hazipatikani.

  Ya MoF halikadhalika nayo inasema hivyo hivyo. Nashindwa kabisa kuamini kwamba hizi taasisi hazina resources za kuhakikisha tovuti zao zinapatikana pasi na kwikwi.
   
 5. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  mnenikumbusha majibu ya mkullo kwa Zito kabwe.. sometimes unatamani kuchapa watu bakora!
   
 6. M

  Masingija Member

  #6
  May 14, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa kusema ukweli. Hawa jamaa wamezidi kwa kusema uongo. Hivi wakikubali ukweli itakuwaje?
  Namuiamini Zito kuwa hakurupuki kusema. He speaks with data.
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hili zee linasaidiwa na ule upara ndo maana linaonekana lina busara a=otherwise hovyo kabisaaa....yaani kama zezeta hivi
   
 8. kinja

  kinja Senior Member

  #8
  May 14, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Zitto ni kijana wa kazi na ni kipanga vile x2. Achana na uongo wa Mkulo kwanza kilaza
   
 9. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #9
  May 14, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkulo eti ndo kichwa cha mkwele, bora hata mama mkwe wake!
   
Loading...