Chadema yatakiwa kutotumia ofisi ya Meya kama 'Kijiwe' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yatakiwa kutotumia ofisi ya Meya kama 'Kijiwe'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritz, May 14, 2011.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Wananchi wa Nyamagana Mkoani Mwanza, wamekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuacha kutumia ofisi ya Meya wa Jiji la Mwanza kama 'kijiwe' wamesema ofisi hiyo iachwe itumikie wana Mwanza wote bila kujali itikadi ya vyama. wanashangazwa namna Chadema kinavyotumia vibaya ofisi hiyo kwa kufanyia vikao vyao vya ndani badala ya kutumia ofisi zao, Wananchi ambao si waufuasi wa Chadema na wale ambao hawana vyama wamekuwa wakipata wakati mgumu kumuona Meya wa Jiji la Mwanza kwa ajili ya kuwatatulilia matatizo mbalimbali. Ofisi ile ni ofisi ya umma na si ofisi ya CCM, CUF, CHADEMA,
  SOURCE:
  MTANZANIA MEI 14. 2011
   
 2. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #2
  May 14, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wanatumia ofisi hiyo kuaanda mikakati ya kutatua matatizo na kero za wananchi.Kinyume na CCM ambayo imekua na inaendelea kutumia ofisi za serikali kuanzia Ikulu kama vijiwe vya CCM kujadili njinsi ya kuwaibia walalahoi.
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Ukifika pale ofisi za jiji la Mwanza kuna usumbufu mkubwa kwa kweli kumuona Meya, kuna makundi ya wafuasi wa Chadema wengi wao kutoka maeneo ya Igoma, Nyakato, Mkuyuni, Bugando, Bugarika, wanaamkia ofisi za Jiji kushinda pale mpaka jioni wanafanya 'kijiwe' wanasubiri posho, bahati mbaya wanadhani sababu Meya anatoka Chadema basi ni haki yao kupitia pesa ya kula kila siku, wafanye kazi ndugu zangu Meya ana majukumu makubwa kwa wana Mwanza wote
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kweli ccm wamechanganyikiwa, hawajui cha kuonge...wanatapata ooh kijiwe, hatumpati meya...mbona hawaseme jk kufanyia mikutano ya chama ikulu..
   
 5. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mbona CCM wanafanyia Vikao Vyao IKULU?
   
 6. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45

  picha yako inaniacha hoi
   
 7. W

  Wasusujane Member

  #7
  May 14, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Kwa wanaomjua mwandishi wa gazeti hilo Mwanza, hawawezi kushangaa kwa habari hii, anachokitafuta ni sababu ya kuamkia asubuhi kwa mkurugenzi na gazeti ili apate kianzio cha wiki, ni fitna na uzushi, yeye mwenyewe haishi kujizungusha hapo, akiandika habari ya para tatu anapeleka gazeti akajikombe kwa Director, apewe vicent maisha yanaendelea, shame on him
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  May 14, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Mkuu, wanalalamika ofisi ya Meya kuwa kama 'KIJIWE' cha wafuasi wa Chadema
   
 9. Josephine

  Josephine Verified User

  #9
  May 14, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Aliyetamka maneno haya ni mjinga kwa kiasi kikubwa sana.Meya ni wa wananchi vikao vya ndani havinabudi kufanyiwa ndani ya ofisi hiyo kwani ndipo ilipo halmashahuri,mipango ya halmashahuri hainabudi kufanyika hapo.unataka watende kazi kama CCM ambao kazi yao ni kupanga hata mikutano midogo kwenye mahoteli makubwa ambayo hiyo ni matumizi mabaya ya fedha?Meya anayo ratiba yake kama ni wakati wa mkutano huwezi kuzuia kwa nilazima mambo mazuri yote yawe na mkakati na mipango mizuri.

  Ulipoandika kijiwe nilidhani wanatumia offisi kufanya anasa na kupinga hadithi.kabla ya kusema ni vema ukatafakari kwanza,waandishi wetu wengine bwana fani imewapita kushoto.hao ndio waliosoma shule za Academy.
   
 10. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #10
  May 14, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  kama unachosema ndo ukweli, na mimi siungi mkono watu kufanya ofisi kuwa kijiwe. ila usije ukawa umedanganya!.
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  May 14, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  naomba tafasiri ya neno 'kijiwe'..
   
 12. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #12
  May 14, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  wewe ritz acha mambo ya kibwege, mkuki kwa nguruwe, magamba wanakaa vikao vya kamati kuu kila siku pale ikulu, sio hilo tu wanatumia hadi magari ya serikali kufanyia kampeini na shughuli za chama mke wa kikwete alitumia hadi ndege ya serikali kufanyia kampeini za mume wake, mwanza inawauma sana sababu ulikuaa umezoea kwenda kuvizia vitenda pale imekula kwako mpaka baada ya miaka mitano pole.
   
 13. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #13
  May 14, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuwepo kwa watu ofisini inamanisha ya kwamba ofisi inafanya kazi kutatua matatizo na kero za siku nyingi za wananchi ambazo CCM haikua inafanya lolote kuzitatua.Sasa umekuja uongozi unaojali watu hivyo wanajitokeza kwawingi.PEOPLES POWER!
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #14
  May 14, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  NIKIONA SOURCE TU (mtanzania) BASI..............TANGU LINI MTANZANIA WAKAANDIKA JAMBO KWA MASLAHI YA TAIFA BADALA YA MASLAHI YA DINI NA CHAMA?.........HAYA NI MAJARIDA YALIYOKOSA SIFA ZA KUANDIKA MAMBO KM HAYO..

   
 15. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #15
  May 14, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huu ndio udhaifu wa watu wengi JF. Hivi chadema haitakiwi kukoselewa? Yaani mtu akileta changamoto watu wanamsakama yeye badala ya hoja.
  Pia CCM kufanya upuuzi hakujustify chadema nao kuiga upuuzi. Hii lugha ya mbona CCM ni ya watu waliochoka kifikra. Tuwe wakweli pale kwenye tatizo badala ya kuanza ohh mbona CCM, haitasaidia chama.
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  May 14, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Meeting place of jobless
   
 17. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #17
  May 14, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Siwapendi mwandishi, mhariri, mtendaji mkuu na mmiliki wa gazeti la Mtanzania. Hata hivyo hapa kuna hoja muhimu na wala watu wasiipotezee. Ile ni ofisi ya Meya na ni ya utendaji. Chadema kwa wingi wao wanapaswa kuwa na ofisi ya chama au ya diwani wao ambaye pia ni meya na huko ndiko wakusanyike na kujadili mambo yao ya siasa ili waachwe watu wenye shida za utendaji wapate huduma za hiyo ofisi ya Meya. lakini kwa jinsi walivyo wakaidi watakuja na maswali ya kifedhuli kama hilo la kwamba mbona vikao vya CCM vinafanyikia Ikulu bila kuelewa kwamba hapa kinacholalamikiwa ni kuvurugwa kwa shughuli za utendaji kutokana na kugeuza sehemu hiyo kijiwe.
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  May 14, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  (Slaa Fiancee) wewe upo mbali na Mwanza ujui shida wanazozipata wakazi wa Jiji la mwanza, unakimbilia tu kuita watu wajinga, muhandishi John Maduhu, karipoti hii habari kutokana na malalamiko ya wana Mwanza, Wananchi ambao si wafuasi wa Chadema na wale ambao hawana vyama wamekuwa wakipata wakati mgumu sana kumuona Meya wa jiji la mwanza kwa ajili ya kuwatatulia matatizo mbalimbali, yaani ofisi ya Meya imekuwa meeting place of jobless
   
 19. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #19
  May 14, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Unahangaika bure! Jamaa hamnazo na hawatakuelewa kaka.
   
 20. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #20
  May 14, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Photos speak more louder than words..... this avatar says a lot about you
   
Loading...