Hizi takwimu ni sahihi?-Chadema Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi takwimu ni sahihi?-Chadema Zanzibar

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by SG8, May 15, 2011.

 1. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Tatizo nini sasa??mi sijagundua kitu bado...halafu data naona zimepalaganyika..ila kwa nilivyoelewa CDM ina kura 5633 na ina percent 83.17, so ndio kashinda!!au kuna ishu nyingine hapo??
   
 3. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Tatizo hakuna mbunge wa Chadema aliyeingia bungeni toka Visiwani kwa kupigiwa kura au mwenzangu unamfahamu?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,525
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hao nec basi ni vilaza?
   
 5. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Wamekosea sehemu nyingi hili ni mfano tu. Kwa staili hii nani anbisa kuwa matokeo hayawezi kuchakachuliwa?
   
Loading...