Wamepageuza Ikulu kuwa pango la wanyang'anyi!!

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
Kwa sisi wakristo tuna mkumbuka Yesu alipoingia hekaluni alikuta watu wamepageuza mahali pa biashara akakasirika sana akaanza kutupa kila kitu na kuwakemea kuwa wasiigeuze nyumba ya sala kuwa pango la wanyang'anyi mfano huu nimeutumia kumkumbuka yule kijana mjinga alietoka GEITA kujakumpongeza Kikwete kwa baiskeli cha kushangaza Kikwete akakubali kuonana nae wakati huohuo wazee wa iliyo kuwa jumuia ya Afrika mashariki wakipigwa mabomu pindi walipoandamana kwenda ikulu,Tango mfanyabiasha aliyezurumiwa mali zake alijaribu mara kibao kuonana na pinda achilia mbali kikwete lakini akashindwa! Serikali hii inadaiwa na makaburi coz walewanaodai ni watoto wa wale wazee ambao wameshakufa.Kweli inabidi tumuunge mkono Dk slaa ambae anawakemea wale ambao wamepageuza ikulu kuwa pango la wanyang'anyi.
 
Ebwanae inaelekea unatokea CHAMA CHA MAGAMBA nini? Siku zenu zina hesabika.
 
Back
Top Bottom