Wenye maduka Bukoba wabandua picha za Kikwete kutani kwa kukosa wateja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenye maduka Bukoba wabandua picha za Kikwete kutani kwa kukosa wateja

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Oct 15, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimepata habari kutoka kwa swahiba wangu aliye Bukoba kwambapicha za JK zilizokuwa zime4bandikwa kwenye nyumba ambazo ni maduka na sehemu nyingine za biashara zimeanza kuondolewa na wenye biashara hao kwa kukosa wateja.

  Baada ya tsunami ya Dr Slaa iliyopita jana, watu waliorudi kutoka kwenye mkutano waliona wafanya biashara wenyewe wakizibandua picha hizo huku baadhi yao wakisikika wakinung'unika kwamba wanakosa biashara.
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  H ah aha ha, mwaka huu mpaka kieleweke
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Kumekucha mashabiki wa chama dola!! Imekuwaje tena -- yaani sura haiuzi tena!!
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  JK ana gundu
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  JK nuksi!!
   
 6. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa :whistle::whistle::whistle:
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  jk kazamaaaaaa:A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:
   
 8. J

  Jafar JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Na bado
   
 9. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Nakumbuka mwaka 2007 Raila Odinga aliwaasa wakenya kutonunua vitu kutoka kwenye viwanda na maduka ya Mafisadi, hivi hii haiwezi kufanyika Bongo?
   
 10. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #10
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kikwete ni Mgonjwa!
   
 11. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  hii nawezekana , mathalani watu wanaweza kuisusa Vodacom kwa ujinga wanaoufanya wa kutoa namaba za watu na kutuma msg za ujinga ujinga
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  zitapotea wapi
   
 13. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  ni wakati muafaka wa kuachana na vodacom, alphatel, alpha dry cleaners. nk
   
 14. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mhhh Maralia sugu hapo unasemaje?
   
 15. R

  RMA JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kikwete Nuksi tupu. Nguvu za majini haziwezi kushinda nguvu za Mungu. Kura yako mpe Dr Slaa!
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,814
  Likes Received: 420,402
  Trophy Points: 280
  Mapana ya CCM Chama Cha Mafisadi sasa ncha zake ni Dr. Slaa na Chadema
   
 17. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,590
  Likes Received: 1,676
  Trophy Points: 280
  Si uliona mwenyewe Taifa Juzi, wamorocco sio wakutufunga sisi, kwa sababu kama tuliwadindia algeria kwao, then Afrika ya kati waka wadindia Morocco kwao, Sasa kwanini Afrika ya kati wa wafunge algeria sisi tushindwe kuwafunga Moroco nyumbani kwetu?
  Nuksu huyu jamaa, Kamulize Kaijage kwanini CD ziligoma atakuambi Kikwete NUKSI!
   
 18. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Jamaa yangu alikuta wamebandika katika nyumba yake kwa lazima na yeye akalazimika kulazimisha kuziondoa. Watu wameamka. Ni saa 12 asubuhi. Ukombozi uko around wakuu wangu.
  Bukoba wameamka. Mikoa mingine vipi? Matunda ya Operation Sangara hiyo.
   
 19. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #19
  May 15, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yalaaah! :majani7:
   
Loading...