Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Saturday, 21 May 2011 21:43 Balozi Ibrahim Kaduma aliyekuwa Waziri katika Serikali ya Awamu ya Kwanza ya Mwalimu Julius Nyerere akizungumza katika mahojiano maalumu na Gazeti hili jijini Dar...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Saturday, 21 May 2011 23:19 Bank of Tanzania (BoT) twin tours. EPA (External Payment Arrears Account) was set up at the BoT to take care of debt arrears, which were owed to foreign...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Saturday, 21 May 2011 10:33 President Jakaya Kikwete makes a point during a cabinet meeting at State House. PHOTO | FILE Top government officials converge on Dodoma last week to attend a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani, Kwa wale wadau waliopo serikali ebu tupeni ukweli kuhusu hili. Sisi tuliopo kwenye sekta binafsi tunaona dalili zote kuwa serikali imefulia. Jamaa yangu mmoja amenihabarisha kuwa...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
..basi ni hii waliyopewa wenzetu ya kujaribu kuwafanya watu wenye akili zao wakubali kugeuza uongo kuwa kweli kwa manufaa ya Chama Cha Magamba. Nakupa mifano michache (mdau ongeza nitakayokuwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimaye Zitto Zuberi Kabwe amenena.Amesema kuna mbinu nyingi zinafanywa na maadui wa chadema kumgombanisha na mwenyekiti wake Freeman Mbowe.Katika hilo ametupia lawama baadhi ya vyombo vya habari...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
ninani alikufa kwa kumpinga kikwete mwaka jana?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu wengi hawakumbuki kuwa miaka ya 60 Nyerere aliunda Tume ya Chifu Mang'enya ambayo iliundwa kuangalia mojawapo ya matatizo makubwa ya kitaifa. Kuundwa kwa tume ile kulionesha kuwa Nyerere...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu Mei 18, 2011 Serikali yakiri baadhi ya wawekezaji ni matapeli KIKOSI kazi maalumu kinatarajiwa kuundwa, hivi karibuni, kikiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi ili kufuatilia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Written by administrator // 20/05/2011 // Habari // 8 Comments Waheshimiwa Wazanzibari Asalam Aleikum, Kwa heshima nakuleteeni hapa kauli ya Jahazi Asilia kuhusu “Shirikisho la Afrika Mashariki...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa serikali kuiraumu chadema kwa kila jambo linalojitokeza nchini eti wanasiasa wachama furani ndio wa wanaowachochea wananchi kuipinga serikali juu ya mambo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajanvi moto na hasira za watanzania, juu ya wanachaita dhuluma na wizi wa mchana unaotaka kufanywa na selikari kwa kupitia halmashauri ya manispaa ya Ilala! Unawaka hapa kinyerezi, raia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nakumbuka miongo kadhaa imepita tangu kutokee mtafaruku wa viongozi wawili mkoani Ruvuma kati ya Askofu na Mkuu wa mkoa. Askofu kilichomponza ni kumtaka Mkuu wa Mkoa kufuata maadili ya dini yake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Manispaa ya ilala imetoa tangazo kuhusu ugawaji wa viwanja eneo la Kinyerezi. Katika tangazo hilo unatakiwa ulipe shilingi 20,000.00 kupitia benki ya DCB akaunti 011005000075. Manispaa wameamua...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
www.dsm.go.tz/kurasa/nyaraka/Mkataba_Book.pdf
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Nimevumilia sana kutokusema but nimeshindwa sasa inabidi niseme tu kilicho moyoni kwangu. Kwa ufupi nashangazwa na busara za CHADEMA na Dk Slaa. Mimi ni katika wale ambao nimesha give up na...
5 Reactions
107 Replies
9K Views
Nimekuwa nafuatilia kwa ukaribu chaguzi mbalimbali Tangu zile za 2005 na 2010 na kuona mbinu chafu zinazotumiwa na chama Tawala CCM tangu wakati wa kampeni, kwenye tume ya uchaguzi, wakati wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nafikiri tumesikia ya kuwa mitambo ya Dowans imeuzwa kwa kampuni ya kimarekani,sasa swali ninalojiuliza mimi ni kwamba kama Raisi wetu alikana hadharani ya kuwa hawajui wamiliki wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
BAE Systems has escaped prosecution for bribery. But where does that leave the poor of Africa? Richard Dowden So now we know a little more. We always knew that in 2001 the British company BAE...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo katika chuo kikuu cha ushirika na biashara moshi(muccobs),kuna kongamano la kujadili tatizo la umaskini katika taifa letu. Kuna watoa mada mbalimbali,akiwemo samwel sitta,waziri wa ushirikiano...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom