Atakayempinga Kikwete kufa

Atakayempinga Kikwete kufa

Plato

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
420
Reaction score
94
ninani alikufa kwa kumpinga kikwete mwaka jana?
 
ninani alikufa kwa kumpinga kikwete mwaka jana?

Marehemu alisahihisha kauli yake muda aliotaja ulipopita bila utabiri kutimia,ni kati ya utabiri ambao binafsi sikuupenda kabisa!RIP Sheikh Yahya Hussein
 
Waliokuwa wanaamini utabiri wa Marehemu Sheikh ni sawasawa na wanaoamini dawa ya Babu wa Loliondo.
 
Waliokuwa wanaamini utabiri wa Marehemu Sheikh ni sawasawa na wanaoamini dawa ya Babu wa Loliondo.

Naomba niongezee na wale wafuasi wa Kakobe, Mwingira, Lwakatare(mama wa st Maries) na Lusekelo (mzee wa upako).
 
Shehe mwenyewe. Du kumbe alikuwa anampinga kikwete yeye mwenyewe. Mashetani yanatambuana ...
 
mchungaji Gwajima. alimuonya kwa kuwatabiria wenzie vifo akamwomba aende kwake akatubu vinginevyo atakufa, akakaidi. mambo hayo

hivi ni nani ambaye hatakufa? How can you claim to predict the obvious? angekuwa mtabiri basi angetabiri siku na saa ya kifo na siyo kusema tu kuwa asipotubu atakufa!!
 
Wewe ni maralia sugu huwezi kupona lazima ufe kwakumtetea JMK
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom