Zitto Kabwe: Njama za kuivuruga CHADEMA kamwe hazitafanikiwa...

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Hatimaye Zitto Zuberi Kabwe amenena.Amesema kuna mbinu nyingi zinafanywa na maadui wa chadema kumgombanisha na mwenyekiti wake Freeman Mbowe.Katika hilo ametupia lawama baadhi ya vyombo vya habari vinavyomilikiwa na maadui wa Chadema vinavyojaribu kuandika uongo kwamba anampiga vita mwenyekiti wake.Zitto amesema kwa mdomo wake kwamba mbinu za maadui hao kamwe hazitafanikiwa na kufanikiwa kwao ni kama mbingu na Ardhi.Amesema maadui hao wamekosa pa kushika baada ya kuona chadema iko kileleni kuingia ikulu.
Zitto Kabwe amewaambia maelfu kwa maelfu ya wananchi wa Iringa kwamba aliyemkuza kisiasa na kufika hapo alipo ni Freeman Mbowe....Amedai Mbowe alianza kumkuza,kumjenga na kumsaidia tangu akiwa chuo kikuu cha Dar es salaam.Amesema sasa ni nani mwenye ubavu wa kumgombanisha na mlezi wake?
Amewataka maadui wake kisiasa kutafuta mbinu nyingine kwani hiyo imeshindwa na kuzikwa.......

Nawasilisha!!
 
Kauli ya Zitto ni nzito !!---- sasa wenye wivu mtasikia wanaanza kujikuna bila kuwashwa - ha ha ha

haya sasa ni maandalizi ya kuingia ikulu --- huku ndiyo kusafisha upepo tuone wachokonozi watakuja na jingine lipi tena?

Hongera CHADEMA - HONGERA ZITTO ZUBERI KABWE.
 
Its goods to know th truth from Zito, maana 2mechoka kila siku eti Zito msaliti wa Chadema zito.. Zito enough is enough, it is time for politics to be constructive na 2achane na Majungu yasiyo na maana let work 4 th betterment of our nation!
 
Looser!

Si ndio nyie mlikesha usiku na mchana kusema Zito aondoke CDM! vipi sasa it all turning to waberoya sasa, for what??

After all is this not politics?

Umenifanya nicheke sana!
Ofcourse I'm the loser but you won nothing, eti umecheka kicheko cha kinafiki tupu.
 
Haya sasa mwenyewe kasema ukweli juu ya uongo uliokuwa umeenezwa,wenye wivu na wajinyonge
 
Its goods to know th truth from Zito, maana 2mechoka kila siku eti Zito msaliti wa Chadema zito.. Zito enough is enough, it is time for politics to be constructive na 2achane na Majungu yasiyo na maana let work 4 th betterment of our nation!

chadema kuna wazee pia.

tena wasomi.

'mtoto wao' mdogo kama zito hawezi kuwasumbua wakamkata mkono.

mlie tu.
 
Hatimaye Zitto Zuberi Kabwe amenena.Amesema kuna mbinu nyingi zinafanywa na maadui wa chadema kumgombanisha na mwenyekiti wake Freeman Mbowe.Katika hilo ametupia lawama baadhi ya vyombo vya habari vinavyomilikiwa na maadui wa Chadema vinavyojaribu kuandika uongo kwamba anampiga vita mwenyekiti wake.Zitto amesema kwa mdomo wake kwamba mbinu za maadui hao kamwe hazitafanikiwa na kufanikiwa kwao ni kama mbingu na Ardhi.Amesema maadui hao wamekosa pa kushika baada ya kuona chadema iko kileleni kuingia ikulu.
Zitto Kabwe amewaambia maelfu kwa maelfu ya wananchi wa Iringa kwamba aliyemkuza kisiasa na kufika hapo alipo ni Freeman Mbowe....Amedai Mbowe alianza kumkuza,kumjenga na kumsaidia tangu akiwa chuo kikuu cha Dar es salaam.Amesema sasa ni nani mwenye ubavu wa kumgombanisha na mlezi wake?
Amewataka maadui wake kisiasa kutafuta mbinu nyingine kwani hiyo imeshindwa na kuzikwa.......

Nawasilisha!!

...i should agree, kwamba zitto au yeyote aliyemshauri ni mtu smart. ameweza kuona mapema upepo unaelekea wapi. kama yuko sincere na maneno yake he will turn out to be very instrumental in the march towards 2015.

...but one should be very careful with this development.
 
Back
Top Bottom