Sasa siyo siri serikali ya Kikwete imefulia na inakaribia ku-collapse! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa siyo siri serikali ya Kikwete imefulia na inakaribia ku-collapse!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dumelambegu, May 21, 2011.

 1. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Jamani,

  Kwa wale wadau waliopo serikali ebu tupeni ukweli kuhusu hili. Sisi tuliopo kwenye sekta binafsi tunaona dalili zote kuwa serikali imefulia. Jamaa yangu mmoja amenihabarisha kuwa imefikia hatua hata chai ofisi za serikali imeanza kuadimika. Mwezi uliopita tuliambiwa serikali ilibidi ikope bank ili ilipe mishahara watumishi wake. Wenye news kuhusu kufulia kwa serikali watujuze hapa! Kama hali ndiyo hiyo, enzi za Mzee wa Ruksa zinaanza kurejea!
   
 2. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ndo mana wanajitaid kuTUfisadi katika VAT
   
 3. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  GREAT THINKER!!!! Kutokua na chai maofisini ni dalili za serikali kufulia??? Kazi ipo
   
 4. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Umezoea kuishi kwa dili zimebana wapiga kelele!
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Ngoja watujuze kwanza...lakini hii info ya kufulia ipo hapa jamvini tangu february!!sema serikali inakanusha tu, na hela zao mpya zimefulia,hazipo tena kwenye circle
   
 6. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Hapa siyo suala la deal. Ni jambo lililo bayana kabisa kuwa serikali imefulia. Hali ni mbaya sana kifedha.
   
 7. m

  msafi Senior Member

  #7
  May 21, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  suala la serikali kutokuwa na fedha liko wazi, hata ofisini kwetu chai kwa sasa hakuna, na hata mambo mengine yamefutwa, vinafanyika vitu vya lazima tu.
   
 8. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  plz think twice!! lack of tea in the govt office does not imply that the govt is having shortage of funds, otherwise stated......
   
 9. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mishara ya mei wamepeleka bank last week, this week watu watalipwa? Matumizi ya sio lazima wamebana kweli what's the fuss?
   
 10. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama imefulia basi wakatae bajezi za halmashauri zanye 70% matumizi ya kijinga yasiyo na maendeleo
   
 11. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wauze mashangingi wapande daladala tuwapige makonzi.
   
 12. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Upunguzwe mshahara wa kikwete na matripu ya nje ndipo tutasalimika, wabunge wapunguziwe mishahara na mapochopocho...........
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  kuna Almashauri juzi tu imepitisha bajeti ya sherehe za kuukaribisha mwaka 2011 wakati mwaka wenyewe umeshazeeka, kwahiyo sishangai serikali kufuria ina matumizi ya hovyo hovyo.
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kwani nyumbani watoto wanapokuwa wanapiga Deshi asubuhi na mchana ni dalili za nini?au ni dalili za mambo safi kila siku sikukuu tu
   
 15. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  then what does that implies ???
   
 16. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  je umeme unapokatika na wakashindwa kuwasha genereta kisa mafuta tusemeje?wanaposhindwa kutengeneza a/c tusemeje?serikali inapokopa kwa wafanya kazi inakuwa ina hela?asilimia kubwa ya wafanya kazi wanaidai serikali.likizo,uhamisho,kesi na malimbikizo kibao...
   
 17. M

  Makupa JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ndugu yangu uwezo wa hawa wanazi wa cdm ni mdogo sana kwa hiyo usishangae
   
 18. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hali si nzuri jamani
   
 19. i

  ibange JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ni kweli serikali haina pesa. hiyo aliyosema kukosa chai ofisini ni mfano tu. ila ukweli hata vitu vya msingi kama karatasi za kuandikia, na vitu vingine vya ofisi havitolewi sababu ya hela
   
 20. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Juzi kuna Boss mmoja wa ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Kinondoni ameniambia ata Mafuta ya Mashangingi wamepunguziwa liters wanazopewa kwa wiki wanapata Nusu ya wanayotakiwa kupewa kadiri ya Utaratibu.
   
Loading...