kwanini kila jambo lawama kwa chadema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwanini kila jambo lawama kwa chadema?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chapati, May 21, 2011.

 1. c

  chapati Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa serikali kuiraumu chadema kwa kila jambo linalojitokeza nchini eti wanasiasa wachama furani ndio wa wanaowachochea wananchi kuipinga serikali juu ya mambo mbalimbali yanayotokea nchini kwa sasa!mimi ninachofahamu chadema ni chama cha kisiasa na kinafanya kazi ya kisiasa kama wao ccm wafanyavyo wakati huu wakizunguka mikoa mbalimbali kunadi zana yao ya kujivua gamba!nani aliwambia kuwa watanzania watakuwa wajinga milele?you can full some people sometime but you cant full all people all the time!
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu umenena vizuri sana

  nyambari hawajambo
   
 3. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ukiona hivyo ujue chema chajiuza kibaya chajitembeza.ccm wanaogopa kivuli chao wenyewe.
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kwa serikali ya kihuni hata matamshi yao ni ya kihuni tu
   
 5. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  good trial
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  duh....siknuiona hiyo

  alafu KIMBURU kikwetu maana yake ni ka mbuzi kaliknona
   
 7. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  tatizo la ccm ni ushirikina na mganga wao kafa.kila wakipata tatizo wanadai cdm
   
 8. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  walizoea kuona vyama vya siasa wakati wa uchaguzi tu lakini safari hii kila siku ni siku ya kampeni.japokuwa kampeni ya wakati huu ni kwa ajili ya kutoa elimu ya uraia ili 2015 uchaguzi uwe kama kumsukuma mlevi.
   
 9. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Huku kwetu KIMBURU ni paka pori wale wanaopenda kukamata kuku
   
 10. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa kuwa mmoja wa wale walionusurika katika uvamizi wenu wa Nyamongo. Sasa mbunge mmepigia nini?
   
Loading...