Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanajamvi napitia gazeti la Dira hapa sasa hivi kuna mchambuzi kanifurahisha sana aisee yeye anamtaka Nape Nauye afikiri kabla hajajibu hoja lakini huyu mchambuzi kanifurahisha zaidi anapohoji...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
MAHOJIANO YA JANUARY MAKAMBA NA JARIDA LA UMOJA 1. Umekuwa msaidizi wa karibu wa Rais Jakaya Kikwete tangu akiwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano wa Kimataifa hadi hivi sasa, ni...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
kiuandaj lilikua limeandaliwa vzur ila sdhan km yaletuliotazamia kupata tumeyapata,waheshmiwa walioalikwa hakuonyesha dalil za kutak kutueleza tumejikwaa wap na tufanye nn kujinasua na tatzo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BAADHI ya wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wametoa tuhuma nzito kwa baadhi ya viongozi wao wa juu kutokana na kile wanachokiita ni kubaguliwa kwa kuitwa ni watu wa kundi la Spika mstaafu Samuel...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwakweli pamoja na mapungufu yote ambayo binadam wanayo na mfumo wowote unayo, CCM ni chama cha demokrasia ya kweli, kwa kukubali kukosolewa na kujirekebisha, mazingira yananionyesha CHADEMA...
1 Reactions
75 Replies
6K Views
Ile hali ya wananchi kuendelea kupoteza uvumilivu inaendelea kusambaa. Leo hii imetokea jimboni Hai jimbo la kiongozi wa upinzani pale mwenyekiti wa kijiji cha isuki kata ya masama kati...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Sunday, 22 May 2011 00:03 President Jakaya Mrisho Kikwete The Citizen Reporters Dar es Salaam. The Cabinet is generally seen as performing poorly and unlikely to deliver to the President's...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimesikitika sana kuona kuwa Kikwete mpaka leo hajui kuwa yeye ndio Rais watanzania, anajua makosa ya watendaji lakini hamna hatua zilizokwisha chukuliwa, anajua Richmond ilikuwa hewa lakini...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
CHIMBUKO LAM MGOGORO KATI YA MWEKEZAJI NA VIJIJI VINAVYOZUNGUKA MGODI WA NYAMONGO NI HII HAPA Barrick haina kitalu(MINING lICENCE) hata kimoja kinachochimbwa dhahabu hapo Nyamongo hadi sasa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau, Leo "usubuh" nimeingia hapa chuo kikuu cha ushirika na biashara nimekuta bango linalosema jmos kuna mdahalo mkali. Washiriki wakuu ni Prof. Shivj, Prof. Chambo, Six na Mwakyembe...
1 Reactions
116 Replies
10K Views
Habari, Rai *Watishia kutowapa ushirikiano wabunge, Rais 2015 *Wachukia kufananishwa na wenyeviti wa harusi *Wamtuhumu Waziri Mkuu kukwepa kukutana nao Na Mwandishi Wetu MADIWANI nchini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi namuunga mkono Rais wangu Jk kwa sababu nimegundua ana rekodi ambazo katibu mkuu wa chama changu hawezi kuzivunja hata akiupata urais mwaka 2015. Fuatilia rekodi hizi. Mwaka 2015 nitampigia...
13 Reactions
79 Replies
8K Views
Wana JF nimekuwa nikifuatilia kipindi cha dk 45 ITV ambacho kimekuwa kikilenga mahusisi mahojiano na baadhi ya watendaji serikali espicially mawaziri na wastaafu wa serikali ya MAGAMBA,binafsi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wajuzi wa mambo ebu nifahamisheni hivi inaleta afya kwa Mhe. Mukama kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya magazeti ya Serikali au itabidi aachie ngazi?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi karibuni tulimsikia mwenyekiti wa kamati ya tawala za mikoa na serikali za mitaa Mh. Lyatonga Mrema akitoa adhabu kwa Halmashauri ya Rombo. Kwa sheria hii ni kinyume na ni nje ya mamlaka ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajameni naomba mnisaidie katika nchi yetu nimekuwa nikisikia hiki cheo cha waziri kivuli nasema hivyo ni baada ya kusoma na kuona runinga zikisema kuwa kuna mbunge mmoja wa chama fulani kutoka...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
By JENERALI ULIMWENGU Posted Sunday, May 22 2011 at 10:47 So, some people planned an opposition party but are still in CCM. So what? The Tanzanian political class is not necessarily...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
...Wiki iliyopita kumetokea mahuaji ambayo kila mtanzania mpenda haki na mzalendo atakuwa ameguswa sana na vifo hivi...Ni vifo vya watanzania wenzetu wachumiaji juani kama sisi walipopoteza uhai...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumbe KUJIVUA GAMBA ndo kumeanza kwa style hii? Mojawapo ya kiongozi wa ngazi ya juu kwenye Kata fulani ya Wilayani ameshapata barua kama ilivyo hapo chini. Maswali ya baadhi ya watu katika...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
kila nikikumbuka jinsi babu zetu walivyoteswa na wakoloni inatia uchungu sana, waligeuzwa magari na bibi zetu warembo walibakwa na kuuwa na hawa watu, baada ya waafrika wenzetu wenye ujasiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom