Maswali mengi ya ajabu kweli. Hivi, kuuzwa mitambo mpaka raisi ajuwe mwenyewe ni nani? Hivi wewe uko sawa kweli? Au ndio mashallah?Wadau nafikiri tumesikia ya kuwa mitambo ya Dowans imeuzwa kwa kampuni ya kimarekani,sasa swali ninalojiuliza mimi ni kwamba kama Raisi wetu alikana hadharani ya kuwa hawajui wamiliki wa dowans,inakuwaje dowans inauzwa wakati muuzaji hajulikani?
Mwanajamii
Maswali mengi ya ajabu kweli. Hivi, kuuzwa mitambo mpaka raisi ajuwe mwenyewe ni nani? Hivi wewe uko sawa kweli? Au ndio mashallah?
just use your common sense! Dowans ni issue ambayo ime hit kwenye news kwa sana, mpaka bungeni na mawaziri wamewajibika kwa ajili ya issue hiyo, so it's a hot issue ambayo at least mr. president must be aware kuhusu hatima yake! ukumbuke serikali ilishindwa kununua mitambo hiyo kwa sababu ya politics zilizoingilia kati pamoja na kwamba ilisemekana kuna sheria ingeweza kutumika kutaifisha mitambo hiyo na mchezo ukabadilika ikabidi Dowans ilipwe fidia! kwa mizengwe hiyo huoni kwamba kuna haja ya rais kuwa aware of what is going on? if at all he is not aware!

Halafu hao hao Symbion walionunua mitambo ya Dowans wanageuka na kuanza kuiuzia TANESCO umememe. Patamu hapo. Rostum hajapoteza senti zake.Hawa ni Dowans2 waliovaa suti ya Marekani badala ya suti ya Waarabu. Kinachoshangaza ni kwamba hata huko Marekani makampuni yanaponunuana huwa sio siri kuanzia nani anamuuzia nani na kwa bei gani. Serikali yao wakati mwingine huingilia kati mchakato pale panapotokea kuchezwa faulo. Sasa leo hii Symbion bin Dowans wanatwambia eti hiyo ni siri kati ya mnunuzi na muuziwa!!!! Tusubiri tuone wabongo tunavyoingizwa mkenge na wajanja wa beltway. Vimbwanga vya Wall Strret vs Main Street vinahamishiwa bongoland!!!:dance: