Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Balozi Ibrahim Kaduma, ambaye alikuwa waziri katika serikali ya awamu ya kwanza ya mwalimu J.K Nyerere ametilia shaka utekelezaji wa mkakati wa kujivua gamba kwa madai kuwa CCM na mwenyekiti wake...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA WAUMINI wa dini ya Kiislamu mkoani hapa, wametahadharishwa kuhusu mwenendo wa Chadema, kuwa kinahamasisha kuibuka vurugu nchini na kuwa chama hicho ni hatari, kwani...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii mikoa ni ngome yetu, CDM hawakubaliki kabisa na uzuri ni kuwa hata wao wanalifahamu hili na ndiyo maana huwa hawaendi kwenye ngome hizi, hata ufunguzi wa matawi katika vyuo vilivyo maeneo hayo...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Na Anna Mrosso 21st May 2011 Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema Mbunge...
0 Reactions
111 Replies
10K Views
Wapendwa wana-JF Ukweli ninajiuliza maswali mengi ata sipati mtu wa kunipa majawabu. Leo hii: 1. CDM wameishateka mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa maana ya Mara, Mwanza, Shinyanga na Kagera 2. CDM...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
nilikuwa nasikiza mapitio ya magazeti kwenye moja ya stesheni za redio na nikastuka kusikia gazeti moja la kila siku likiripoti kuwa mtu wetu wa bagamoyo ameagiza waliotekeleza mauaji ya mwakeenja...
6 Reactions
54 Replies
5K Views
Kweli mabadiliko ya katiba yanahitajika lakini hii ya zamani walio wengi hatuijui tuelimishwe kwanza ili twende pamoja.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
"mtoto alikataa kwenda shule, mzazi akatafta kiboko kimpge aende shule, KIBOKO KIKATAA. Kwa hasra, akaenda kumwambia MOTO aunguze kiboko ili kiboko kimchampe mtoto, MOTO UKAKATAA! Mzazi akaenda...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Daktari (PhD) wa ukweli amemjibu Mukama kuwa wananchi wanauezo kikatiba wa kumuondoa JK madarakani kabla ya 2015. “Ibara ya 146 ya Sheria ya Serikali za Mitaa ya mwaka 1982, inasema wananchi ndio...
3 Reactions
104 Replies
12K Views
Ndugu zangu, CCM inayumba, kusema kingine ni kuwadanganya CCM, haitawasaidia. Ndio, jahazi linapopoteza mwelekeo kinachofuatia ni kuyumba na hatimaye kuzama. CCM kama chama, kiko...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Mwanasheri wa Chadema Mabere marando,amesema wameshafanya uchunguzi wao kama walivyotumwa na chama dhidi ya mauaji ya watu 5 pale Nyamongo Tarime. Na maiti za watu hao wamezihifadhi ktk hali...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Huyu nnape ni dc ila takribani wiki 2 sasa yupo kwenye siasa je huo u-dc kampa nani?maana muda wote huo sijasikia anatangazwa kuzindua mradi wowote wilayani masasi.na je itakuwaje mwanasiasa kama...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Tumewaona vijana wanajeshi kule Misri wakishikana mikono na wananchi. Ni ukweli, wengi wa wanajeshi hao wamekuwa recruited ( kuingizwa jeshini) wakitokea kwenye familia za kimasikini. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kunakitu chenye kuuma katika nchi hii ni jinsi ambavyo suala la wizi wa fedha za umma linavyoshughulikiwa na uongozi wa nchi hii ya tz. Haingii akilini eti leo rais anasimama anasema wazi eti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shalom wana jamvi kamwe dunia itabaki na vijana tutaandika historia leo hii serikali imestisha ajila yangu kissa kwangu nina bendera ya ukombozi ya cdm na kua naandesha migomo toka nikiwa udsm...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
UCHAGUZI 2010: USHINDI WA JAKAYA KIKWETE, SHUBIRI KWA CCM Mwaka 2005 wakati Jakaya Mrisho Kikwete akiwania kuwa Rais wa Nne wa Tanzania, aliendesha kampeni za ndani ya CCM kwa hila, mbinu na njia...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
kwa wale wanaopita pita mjini dodoma leo ni masimulizi ya jinsi FEDHA na UBABE wa siasa umeshindwa kufanya kazi katika jamii ya wasomi...... pamoja na matumizi makubwa ya rasilimali...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watanzania wezangu, Tanzania yetu inatakribani ya watu milioni 45 na vyama vya siasa kadha wa kadha kama vile CCM, CDM, CUF, kwa uchache. Wananchi walio wengi wanahitaji viongozi bora kwa ajili...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Mbunge wa Mufundi Kaskazini, Mahamud Mgimwa? amesema hataweza kuvumilia kuona wagonjwa katika jimbo hilo wakibebwa kwa kutumia machela na kwa hiyo ameamua kutumia Sh. 90 milioni, alizokopeshwa na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
TAMKO LA WAZIRI KIVULI (MSEMAJI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI) WIZARA YA NISHATI NA MADINI JUU YA MASUALA, MATUKIO NA MWELEKEO WA SERIKALI KUHUSU UMEME KATIKA KIPINDI CHA MWEZI MEI Utangulizi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…