Tuipitieni katiba ya zamani kwanza ili tusio ijua tuijue.

McEM

Member
May 7, 2011
64
3
Kweli mabadiliko ya katiba yanahitajika lakini hii ya zamani walio wengi hatuijui tuelimishwe kwanza ili twende pamoja.
 
Kweli mabadiliko ya katiba yanahitajika lakini hii ya zamani walio wengi hatuijui tuelimishwe kwanza ili twende pamoja.

Ni kitu gani hasi ambacho unahitaji kuelimishwa? Pitia katiba halafu utuzuje, Pata nakala ya katiba yako: kama uko dar es salaam au Zanzibar jaribu kupitia duka la mpiga chapa wa serikali bei ya nakala moja ni shs 5,000/= tu.
 
Ninacho taka kujuzwa haswa juu ya haki zangu za msingi kikatiba nkiwa mtumishi wa serikali kuu badala ya s/order nijuayo
 
Back
Top Bottom