Nitoe kizani BAVICHA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitoe kizani BAVICHA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nzom, May 23, 2011.

 1. n

  nzom Senior Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Shalom wana jamvi kamwe dunia itabaki na vijana tutaandika historia leo hii serikali imestisha ajila yangu kissa kwangu nina bendera ya ukombozi ya cdm na kua naandesha migomo toka nikiwa udsm mpaka sasa je ni haki.
  Zaidi ya yote chama changu kilitangaza juu ya chaguzi wa bavicha trh 28 ila mpaka sasa sijui nimi kinaendelea vijana tumaini let na nguvu ya mabadiliko hata vijana wa kale wanamini hivyo naamini uongozi wa juu uliotutukuka utatupa taarifa muafaka juu ya wagombea na taratibu husika na kuangalia changamoto nia na madhumuni ni jahazi hili lifike sala hata kama ni kwa nguvu ya damu naamini itakua hivyo daima freedom is never voluntary given by the oppressor
   
 2. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nadhani Ben ameku-thanks so atakusaidia kukujibu. Bila shaka yeye ni mmoja wa watu wanaoweza kuwa na majibu mazuri ya swali lako.
   
 3. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Pole sana kamanda.Tafadhali kuhusu nini kinachoendelea gonga hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/130497-toa-maoni-yako-juu-ya-wagombea-hawa-wa-bavicha-chadema-taifa-28
   
Loading...