Hapa ndipo ufahamu na uzalendo wa Mr. President huwa nautilia mashaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa ndipo ufahamu na uzalendo wa Mr. President huwa nautilia mashaka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Prophet, May 23, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nilikuwa nasikiza mapitio ya magazeti kwenye moja ya stesheni za redio na nikastuka kusikia gazeti moja la kila siku likiripoti kuwa mtu wetu wa bagamoyo ameagiza waliotekeleza mauaji ya mwakeenja wasakwe na wakamatwe mara moja.

  ni kweli bwana kikwete. nakubaliana na wewe hao watu wakamatwe. wameua na hakuna mahala popote katika sheria yoyote mtu anaruhusiwa kutoa uhai wa mwenzake kwa sababu zozote zile.

  mashaka yangu hapa ni hiyo tabia yako ya umangimeza. wakati ukiagiza hayo, suala la kuuwawa kwa watanzania kule tarime hujalitolea tamko mpaka leo. nilichosikia kutoka bbc ni kwamba kuna watu kibao wamekamatwa juu ya tukio la mauwaji ya watanzania watano kule tarime, lakini hakuna hata askari mmoja aliyekamatwa, wakati ukweli ni kwamba polisi ndiyo waliowauwa wale watu watano. wewe pamoja na serikali yako mumefumba macho na mumekuwa mabubu katika tikio la tarime. kitu pekee mumefanya juu ya wanatarime ni kupeleka magari ya maji ya kuwasha, huku mili ya marehemu ikiendelea kuoza mochwari.

  hapa ndipo ninapohoji ufahamu wako na uzalendo wako bwana kikwete. askari wa serikali yako wanauwa raia kulinda maslahi ya muwekezaji wa nje anayekwiba rasilimali za nchi, askari hawa wanaachwa wanadunda, lakini ameuwawa mwakeenja, umeagiza waliomuuwa wakamatwe kwa maslahi ya ccm. this is purely double-standard.

  bora ungekaa kimya tu bwana m*kwe*re.
   
 2. S

  Sio Mwanasiasa Senior Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Me nakushauri soma tena hii post yako kwa umakini halaf jipime...masalam
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Chadema lile gugu (weed) linawaharibu kabisaa. Kuanzai mwenyekiti wenu , katibu na wafuasi sasa mnaropoka utumbo tuu!
   
 4. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jesus is god, but GOD is not Jesus!

  this is mental disorder
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 33,684
  Likes Received: 8,242
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye RED kumbuka hii sio nchi ya kiislamu.
   
 6. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,717
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  wewe ndio unapaswa ujipime, sioni tatizo la hii nyuzi.

  Namuunga mkono mleta nyuzi, JK ana watu ambao anafikiri wanastahili kuishi na wengine hawana haki hiyo. JK ni muuaji, yeye ni amiri jeshi mkuu, mauaji yote yanayofanywa na majeshi yetu yana mkono wake, na sidhani kama muuaji anaweza kutoa tamko au rambirambi za mauaji aliyoyafanya.
   
 7. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimehariri, na wewe hariri
   
 8. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na nyie uzinzi unawaharibu kuanzi desh-desh wenu mpaka n*pi nnauye mropokaji
   
 9. k

  kibajaj Senior Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chadema wakisema jamaa kashindwa na chi eti wanachochea.Hebun ona yuko kimya juu ya hilo la tarime na hakuna waziri wa serikali yake ambaye kafika huko ila kwa hili anasema coz tarime waliokufa ni ng'ombe huyo ni binadamu.Kwa staili hii hata mimi nigewapiga mawe.
   
 10. k

  kibajaj Senior Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Crazzy!!!
   
 11. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,052
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kweli nimeamini kikwete ni Popular sana, never goes a day without having a post about KIKWETE this shows how much support Mr President is enjoying even during these tarbulent times.
   
 12. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,500
  Likes Received: 2,602
  Trophy Points: 280
  Alishindwa kulaani ya Arusha,leo atawezaje kulaani ya Tarime...na asilaani lakini akae akijua hayo ndo mambo yanayoutafuna uongozi wake
   
 13. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unazungumzia yule mchumba wetu mke wa mtu?
   
 14. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #14
  May 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  Acha ujinga dada! Tumia akili hata ya kuzaliwa. Na hili ni jukwaa la GT sio la wapumbaf! Kama huna cha kuchangia, tulia na sio kutuandikia utumbo utadhani una commet ukiwa chooni!
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  May 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,596
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Mchumba wenu na nani?
  M.a.t.a.k.o ya k.u.k.u jike wewe, yanapitisha mavi, mayai na mshedede at the same time.
   
 16. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #16
  May 23, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,125
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Jesuit: I guess haupo mentally ok. Hivi habari iliyoletwa hapa ina uhusiano gani na CHADEMA? Ni watu wangapi wameuawa na majambazi hapa nchini na hatukuwahi kusikia Rais akitoa tamko lolote? Iweje leo ameuawa kiongozi wa CCM basi harakaharaka kuagiza wauaji wasakwe? Ni mara ngapi wameuawa watu mhimu kwa nchi yetu wakiwemo maprofessor ambao tunawahitaji sana kwa maslahi ya wengi, lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na serikali kukabiliana nayo? Je unakumbuka yale mauaji ya watanzania zaidi ya 10 kule ukerewe? Rais alisema nini juu ya yale? Acheni ushabiki wa kishamba jamani, ihurumieni nchi yenu. Huyu Rais ana shida, nashangaa kwanini watu hamuoni hilo
   
 17. t

  tortoise Member

  #17
  May 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Negative and critical support. Of course
   
 18. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #18
  May 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,716
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  a person can be popular for positive or negative aspects
   
 19. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #19
  May 23, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Yule aliyeuwawa rungwe ni kada wa ccm lakini tarime ni wavamizi kutokana na ushawishi wa chadema so hawana umuhimu kwake.hakutakiwa kutoa tamko kuhusu tarime ila alitakiwa kwenda na kulihutubia taifa akiwa pale.anahisi kuzomewa kama mukama jana.mungu awalate mahali pema amena.
   
 20. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #20
  May 23, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,849
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Yawezekana unatatizo kidogo akilini, ukweli ni kwamba ukishakuwa mkuu wa kaya habari zako kila siku lazima zitawale, na kutawala huko kwa habari zako si kwamba una wanaokuunga mkono au wewe ni maarufu sana ila unaweza kuwa mpumbavu sana na habari zako zikatawala, pia unaweza kuwa mwerevu sana na habari zako zikatawala sasa ni jukumu lako na wengine pia kupima kama mkuu wetu wa kaya ni mwerevu au la, na ni kwanini habari zake zitawale
   
Loading...