CHADEMA kugharamia mazishi Tarime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kugharamia mazishi Tarime

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, May 23, 2011.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mwanasheri wa Chadema Mabere marando,amesema wameshafanya uchunguzi wao kama walivyotumwa na chama dhidi ya mauaji ya watu 5 pale Nyamongo Tarime.
  Na maiti za watu hao wamezihifadhi ktk hali salama yenye uwezo wa kufikisha maiti hizo mda wa miezi 6 bila kuharibika,Hii ilikuwa nikanusho dhidi ya watu walioanza kusema maiti hizo zimeharibika kwasababu Cdm hazijazitunza vizuri.
  Akiongea na vyombo vya habari Mabere Marando amesema CDM imejitolea kugharamia kila kitu katika mazishi hayo hapo kesho.Leo madaktari wa Cdm watafanya postmotum kwa mara ya mwisho.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mhhh we TUNTEMEKE unandika huku unakimbia nini hiyo heading ni lugha gani?
   
 3. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Samahani,sema tu nilikuwa naandika huku nahuzunika sana.
   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kugaramia au Kugharamia?
   
 5. s

  sawabho JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Sina uhakika kama waliuuwawa ni wafuasi wa CHADEMA tu na kwa maana hiyo sifahamu ni kwa nini CDM wagharimie mazishi hayo na kuyafanya ya kisiasa. Naomba mwenye ufahamu ujuze.
   
 6. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,971
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Walouwawa ni WaTz maskini waliofanywa majambazi ndani ya nchi yao na maliasili yao suala ni itikadi gani sijui ila kama mtu hakuwa mfuasi wa CDM akisaidiwa na CDM ni dhambi? Nafkiri hilo ni suala la utashi wa ndugu sababu watu hao hao walikataa kusaidiwa gharama ya mazishi na serikali na kukataa ubani wa polisi wakidai kupokea msaada toka serikalini itakuwa ni usaliti kwa ndugu zao ambao wameuwawa kwa uzembe wa serikali wao kama wameona msaada wa CDM ni mzuri ni sawa sababu pia CDM ni ya watanzania woote
   
 7. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Nilifaulu somo la "Siasa",siku hizi linaitwa "Uraia"
   
 8. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  chadema inahusikaje na maiti hawa? Au ndio political oppurtunity? Sounds too cheap to me!
   
 9. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Serikali ya CCM imefanya mauaji ya watu wasiokuwa na hatia! CDM imewasaidia ndugu wa marehemu kufanya uchunguzi ulio huru ili usije kuwa tempered na wauaji! Isn't it logical for CDM to bury the deceaced rather than the killers, CCM?
   
 10. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Vitaa ni vitaa mura!!!!!! Kazi kweli kweli
   
 11. F

  FUSO JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,886
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  una uhakika ulifauru? hili swali ulijibuje?

  KIDATO CHA SITA:

  Section B: Maksi 20.

  1. Demokrasia maana yake Vyama vingi, Jadili? (NECTA 1992)

  :biggrin1:
   
 12. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Sawabho,

  You must be crazy in your head! Je, unataka kutuambia kwa sasa tumefikia mahali kila chama kinazika wanachama wake tu? Na kwa maana nyingine kila dhehebu kwa maana ya dini na kila kabila wanazika wafuasi wao tu au kabila lao? Hatujafikia hapo. Juzi kafa Sheikh Yahya wameenda kuzika Wana CCM,CDMA,CUF,NCCR,WAKRISTO,WAISLAMU,WAPAGANI n.k.Think 2-ice before you speak!

  Kwa taarifa yako pale hakuna hata mfuasi mmoja wa CHADEMA. Kama tu ilivyo kwa CCM hakuna mwana-CCM aliyeuawa pale! Kinachofanyika pale ni kusaidia familia kuwazika ndugu zao waliouawa na Jeshi la Polisi kwa uonevu lakini baada ya kufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuzika ili kesi ya mauaji haya itakapoanza kuunguruma kuwe na ushahidi wa uhakika wa kuweza kuwatia hatiani wahusika, yaani Polisi na serikali yake.

  Haingii akilini kufikiri kuwa CDM wameenda pale eti kuzika wanachama wao! Huu ni upumbaf na ujinga! Nimemsikia N/Waziri Internal Affairs, Mhe. Kagasheki akiropoka kama mvuta bangi kuwa kuna Chama cha siasa kinahusika na mauaji hayo na kinayatumia kujijengea umaarufu!!Ni wanachama cha Magamba tu wanaweza kuamini porojo kama hizo.

  CDM wako pale kuona HAKI INATENDEKA KWA USAHIHI WAKE MAANA SERIKALI ILIYOKO MADARAKANI KWA SASA HAIJALI HAKI ZA WATANZANIA. HAI INGII AKILINI KUONA POLISI WAKIUA WATANZANIA KWA KUINGIA KWENYE MGODI WA MWEKEZAJI WAKTI MWEKEZAJI MWENYEWE ANAWASHANGAA POLISI KWANINI WAMEUA???

  Watanzania hebu tuamkeni jamani toka usingizini! Nchi yetu inaporwa raslimali na sisi tunauawa kwasababu ya rasilmali zetu wenyewe. Hii haikubaliki!
   
 13. B

  BUBERWA D. JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 446
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  serikali ilitoa tamko kupitia kwa wazili kuwa waliouwawa ni majambazi. Baadaye ikatoa tamko kuwa itagharamia mazishi. Swali: Lini selikali imeanza kugharamia mazishi ya majambazi? Chadema inatambua kuwa wale si majambazi bali ni raia wema wanaoonewa katika taifa lao wenyewe kwa kuporwa mali zao na wageni wageni hao wakisimamiwa na serikali ya ccm. Chadema kwa kaulimbiu yake ya nguvu ya umma itaendelea kutetea wanyonge mpaka kieleweke.
   
 14. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #14
  May 23, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Makoye09, unajua tuna shida sana na uelewa wa mawaziri wetu!!!

  Nawapongeza CDM kwa kuhakikisha haki itatendeka!!!
   
 15. Josephine

  Josephine Verified User

  #15
  May 23, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Binadamu yeyote atapenda kujua kwanini jambo hili linafanyika badala ya kuendekeza dharau za kubeza.

  What do you mean by saying it sound too cheap to you ,ni maneno kama hayo yamepelekea vifo vya hawa ndugu zetu.Ni lini mtaacha maneno yenu ya dharau na kuona kwamba watanzania ni binadamu wenye haki ndani ya nchi yao?

  Marehemu waliouwawa wanatoka katika Kata inayoongozwa na Chadema.Na mmoja wa vijana waliokufa ni mtoto wa kiongozi wa chama mahali pale.Ipo kila sababu kwa wanakijiji hao kuona dhuluma iliyofanyika hasa wakiangalia historia.

  CCM na serikali ni watu wasioangalia utu bali ni hila kila kukicha,hakukuwa na mantiki ya kutangaza maiti zinaharibika ikiwa jukumu lakutoa huduma nzuri za afya pamoja na kuifadhi miili ya marehemu ni ya serikali.Mbona tunahushahidi maiti zinahifadhiwqa ndani ya miezi kadhaa???????? kwanini za watu hawa ziharibike?

  Lakini pia ukiangalia kisheria ni nini wanataka kuficha?Hata katika kupiga risasi zipo sheria ni wapi unapaswa kumpiga mtu anae kuvamia kama kweli walivamia,na si k,umpiga ovyo bila utaratibu,hizi hila ndizo zilizowakasirisha wanakijiji na kutoiamini serikali yao.

  Mwisho siyo jambo la kufichila kuwa watanzania kote nchini wameweka imani yao kwa Chadema,na wanapokitaka Chama kisimamie haki zao Hatutakataa wala kusita kwa chochote.
   
 16. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #16
  May 23, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mara hawa ni majambazi, mara tunawezika ccm na kutoa mil 3 kwa kila mfiwa. What is this? Huu ni mwanzo wa mwisho wa CCM kwa ujumla wake
   
 17. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #17
  May 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  First it was the Police that wanted to assisst (in order to cover up); why is it cheap politics when CHADEMA comes in?
   
 18. Paulo

  Paulo JF-Expert Member

  #18
  May 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Duu duu du........Kweli chama kimejipanga vilivyo kwa yeyote atakayeleta fyoko.
   
 19. s

  salisalum JF-Expert Member

  #19
  May 23, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Utaona kama ni cheap au expensive muda si mrefu.
   
Loading...