Elections 2010 Rais wa 2015 ni lazma awe "MBWA"....

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
"mtoto alikataa kwenda shule, mzazi akatafta kiboko kimpge aende shule, KIBOKO KIKATAA. Kwa hasra, akaenda kumwambia MOTO aunguze kiboko ili kiboko kimchampe mtoto, MOTO UKAKATAA! Mzazi akaenda kuyaambia maji yauzme moto ili moto uunguze kiboko na kiboko yapge mtoto aende shule,MAJI YAKAKATAA!

Mzaz hakuchoka, akaenda kumwambia mbuzi ayanye maji, ili maji yazme moto na moto yaunguze kiboko na kiboko kimchape mtoto aende shule MBUZI akakataa....

Baba kachachamaa akaenda kwa MBWA,'mbwa tafuna mbuz', MBWA AKAKUBALI, MBWA ALIMNG'ATA MBUZI NA MBUZI AKANYWA MAJI NA MAJI YAKAZMA MOTO, MOTO UKAANZA KUUNGUZA FIMBO, FIMBO IKAAMKA IKAMPGA MTOTO, MTOTO AKAZNDUKA NA KWENDA SHULE" hvyo Rais tunayemtaka ni lazma awe MBWA 2015.

SOURCE:MRISHO MPOTO AT MOSHI USHIRIKA UNIVERSITY.
 
Mie simo, huyu mpoto ana maneno magumu sana kuyaelewa, ila ukifanikiwa kumuelewa hautakaa usahau alichomaanisha.
 
mie simo maana chichi waichilam Mbwa haramu astaghafulilah ina maana mnatunyanyapaa mbwa hawezi kuwa mwenzetu! hihihihi
 
"mtoto alikataa kwenda shule, mzazi akatafta kiboko kimpge aende shule, KIBOKO KIKATAA. Kwa hasra, akaenda kumwambia MOTO aunguze kiboko ili kiboko kimchampe mtoto, MOTO UKAKATAA! Mzazi akaenda kuyaambia maji yauzme moto ili moto uunguze kiboko na kiboko yapge mtoto aende shule,MAJI YAKAKATAA!

Mzaz hakuchoka, akaenda kumwambia mbuzi ayanye maji, ili maji yazme moto na moto yaunguze kiboko na kiboko kimchape mtoto aende shule MBUZI akakataa....

Baba kachachamaa akaenda kwa MBWA,'mbwa tafuna mbuz', MBWA AKAKUBALI, MBWA ALIMNG'ATA MBUZI NA MBUZI AKANYWA MAJI NA MAJI YAKAZMA MOTO, MOTO UKAANZA KUUNGUZA FIMBO, FIMBO IKAAMKA IKAMPGA MTOTO, MTOTO AKAZNDUKA NA KWENDA SHULE" hvyo Rais tunayemtaka ni lazma awe MBWA 2015.

SOURCE:MRISHO MPOTO AT MOSHI USHIRIKA UNIVERSITY.

Aaaah, Mjombaaaaa!!!!!
 
Waauhh!!! Sijui labda Kalumekenge nnn!! au Mpiga filimbi wa Hamelin (elekezi) !!!! Mhhh! nDIO kweli kumbe ni Bulicheka VS hUIHUIHUI na vita vya wagaggagigikoko japokuwa sasa hv ni vasco-dagama!!!!Mpaka MBWA apigwe na makari-hodari??? umenisoma !!!!!
 
GreatThinkers,

MBWA ni staili ya kiuongozi ambayo niliisoma nikiwa nasoma MBA ni Management style

inayomtaka Manager au kiongozi asiwe wa ofisini peke yake bali anayejishughulisha kwa kwenda sehemu mbalimbali za kazi na Ku-Observe

kazi zinazofanywa na Subordinates wake.

Shortly "MBWA" Stands for "Managing By Waliking Around"

Kiongozi wa aina hii huwa anajiamini na zaidi huwa anaifahamu kazi, ni mtu wa msaada kwa walio chini yake na yuko tayari kwa kutoa
msaada pale wanapokwama.
 
Kwa kiongozi kuwa 'MBWA' nilidhani una maana 'Management By Walking Around' hivyo nilipoona topic hiyo nilifungua nisome kumbe vitu vingine!
 
GreatThinkers,

MBWA ni staili ya kiuongozi ambayo niliisoma nikiwa nasoma MBA ni Management style

inayomtaka Manager au kiongozi asiwe wa ofisini peke yake bali anayejishughulisha kwa kwenda sehemu mbalimbali za kazi na Ku-Observe

kazi zinazofanywa na Subordinates wake.

Shortly "MBWA" Stands for "Managing By Waliking Around"

Kiongozi wa aina hii huwa anajiamini na zaidi huwa anaifahamu kazi, ni mtu wa msaada kwa walio chini yake na yuko tayari kwa kutoa
msaada pale wanapokwama.

Ndiyo huyu tulienae hivi sasa, kama watu wanafikiri kuwa wanamtukana kwa kumfananisha na mbwa basi mkuu hapo umefafanua vizuri kabisa.
 
Waauhh!!! Sijui labda Kalumekenge nnn!! au Mpiga filimbi wa Hamelin (elekezi) !!!! Mhhh! nDIO kweli kumbe ni Bulicheka VS hUIHUIHUI na vita vya wagaggagigikoko japokuwa sasa hv ni vasco-dagama!!!!Mpaka MBWA apigwe na makari-hodari??? umenisoma !!!!!

NAomba mwenye kujua hivi vitabu vilipo anifahamishe vilipo jamani-ilikuwa burudani sana.
 
Ni kweli kabisaa,lazima awe mjasili,ataokoa mambo mengi sana.atafanya hata watawaliwa waamke kivingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom