Dr Slaa atolea ufafanuzi kuhusu wao kukosekana mahakamani huko Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa atolea ufafanuzi kuhusu wao kukosekana mahakamani huko Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Landala, May 28, 2011.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa ametolea ufafanuzi hati ya kukamatwa kwao yeye na viongozi waandamizi wa Chadema iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Arusha,amesema kuwa waliomba ruhusa kwa kupitia mawakili wao kuwa hawatakuwepo mahakamani kwa sababu mchumba wa Dr Slaa bi Josephine Mushumbuzi ni mjamzito na kutokana na sheria ya kesi ya jinai ni kuwa mtuhumiwa mmoja akikosekana kesi huahirishwa. Source. Taarifa ya habari TBC 1.
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hakimu keshasahau hayo, bongo bwana-kaaz kwel kwel!
   
 3. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Again,thats is not right!.....hakimu alikubali maombi au aliyakataa?
   
 4. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Dr Slaa,asante kwa maelezo ayo,pia nakuombea amani katika kulijenga taifa jipya,taifa la watu wa Tanzania.
   
 5. m

  mwl JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 180
  Hapo kwenye red mtoa habari atujuze mimba ni ugonjwa? au kuna la msingi jengine tuanze kujadili.
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mh,nani mkweli sasa
   
 7. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  .
  Inawezekana aliyakubali lakini, kwa sababu za kisiasa hasa ukizingatia mnyukano wa Nyamongo; Jk amemwomba hakimu 'Sahau p/se kwa ajili yetu'
  .
   
 8. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Aliyakataa....muulizeni Alberto msando,yeye ndiye angeongelea hili
   
 9. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  tbc wapumbavu.hiyo siyo sababu aliyotoa dr.nilikuwepo.maelezo sahihi ni kuwa,mahakama ilipanga tarehe kwa kuzingatia ratiba ya kazi ya kiongozi wa upinzani bungeni,na inafahamika kuwa tarehe tajwa wabunge walianza kamati za bunge.wasio wabunge ndo walipaswa kuhudhuria dr.akiwemo.sasa wakili wao alikuwa na kesi mbili siku moja.ya akina dr kwa hakimu mkazi na nyingine mbele ya judge.kisheria hapo ile inayokuwa kwa judge ndo inachukua precedence.sasa wakili kutoka kwa judge akakuta hakimu kasha asume hawakuhudhuria.dr.ameiita technical error.amesema ataenda kesho kutwa kuwaona.akasema hakuna zaidi.
   
 10. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Imeeleweka.Ila,kama angekuwapo(dr slaa) asngeenda docket na kumueleza hakimu kuwa wakili wake ana kesi chamber nyingine,hakimu angesogeza muda au kuahirisha,na kama hakuwepo basi hilo ni kosa la mtuhumiwa.
   
 11. Mbaneingoma Zom

  Mbaneingoma Zom JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe Kobe hata avatar yako inaonyesha kuwa huna akili. wewe unataka hakimu akubali au sheria ikubali? we zoba kweli unafikiri watu wanafanya vitu kwa matakwa tu ya hakimu sheria ndiyo inaongea!! idiot
   
Loading...