Mahakama ya Arusha, yatoa waranti kukamatwa kwa wabunge na viongozi wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama ya Arusha, yatoa waranti kukamatwa kwa wabunge na viongozi wa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, May 27, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Baada ya kutofika mahakamani bila Taarifa, mahakama yaamuru Viongozi wa chadema, Mh Mbowe, Dr Slaa, Lema, Ndesa, Selasini kukamatwa.
  Nimefanya mawasiliano na hawa viongozi wabunge wamesema walishatoa taarifa ya kutoluwepo leo mahakamani kutokana na vikao vya kamati vya Bunge, hivyo wanashangaa hakimu kuamuru wakamatwe ilihali alishakubali..
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wakamatwe tu na wawekwe ndani kwani sio wote ni wabunge, hata slaa nae ni mbunge au analipwa mshahara tu kama wa mbunge ?
   
 3. M

  Mmbwanga Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu watakaba hadi penati kutafuta pakutokea lakini hawatapata. Kitu kinaelekea ukingoni hiki, full kutapatapa
   
 4. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wewe thinktwice,fikiria tena kama lilivyo jina lako,nimesema kuwa wabunge ndio nimeongea nao,wakasema wapo kwenye vikao,hayo ya mshahara wa dr slaa ni yako,acha ujinga
   
 5. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hakimu km alikubali halafu akasahau kisheria imekaaje?
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Huyo hakimu kama alitarifiwa na akakubali halafu ametoa hayo maamuzi basi atakuwa amekunywa banana au viroba kule olmatejoo!
   
 7. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  anatakiwa afanyiwe massage
   
 8. Kiwi

  Kiwi JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Hiyo inaonyesha jinsi gani serikali ya ccm na watendaji wake wengi walivyo na akili finyu. Huyu hakimu hastahili hicho cheo kama hata kazi yake haijui. Inatia kichefuchefu.
   
 9. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamata Dr, hayuko kwenye kamati yoyote ya bunge kwa kuwa si-mbunge, sema anamarupurupu kama ya mbunge..tunatunga sheria na lazima tuzifuate.
   
 10. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mahakimu mda mwingne huwa hawana uelewa mzuri wa sheria hasa hawa wanaopata uhakm kisa anajuana na mjomba n matatzo tupu
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mara ya mwisho, swala hili lizungumzwa kuwa watuhumiwa watakuwa kwenye majukumu ya kiserikali na lakini wakili wa upande wa serikali alisema atawaombea ruhusa..na ikumbukwe kesi hiyo haikuendelea baada ya washitakiwa wawili kukosekana kwani walipawa wote kuwepo hivyo kama mmoja atakuwa aliruhusiwa yaani asingeweza kufika inamaana wote kesi isinge endelea..hivyo kama imeshindika mwezi huu huenda isiendelee kwani bunge ndiyo hivyo tena linaanza, Mrs Slaa atakuwa mbiyo kujifungua.....
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kwa tanzania ni kawaida kusahau,hamna kosa hapo wala adhabu
   
 13. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Shida yako ni nini?:mod:
   
 14. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  wanatafutiwa visa tu!
   
 15. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mwaka huu hawapati mtu

  Jakaya anataka kuwakeep busy na kesi ili mambo yapite mzaha mzaha bungeni:pound::pound::mod::mod:
   
 16. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Unathibitisha tatizo tulilonalo watz wengi. Huwa ni wavivu wa kusoma na wepesi wa kurukia hoja. Ndio maana umechangia ujinga kwasababu tu ya uvivu wa kusoma. Mtoa mada amemjibu mjinga mwenzio ambaye nae amechangia bila kusoma. Ni kwamba waliosema wapo kwenye shughuli za kamati za bunge ni wabunge na ndio ameongea nao. Acha ubwege!
   
 17. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #17
  May 27, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Acha wawakamate,tuwaonyeshe maana ya nguvu ya umma...hakimu alishapewa taarifa,kama kashinikizwa atajua mwenyewe...
   
 18. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  we kama umetoka kuzimu hujui linaloendelea si ukae kimya. Kwa mtu mwenye uhai anajua kesi ilihairishwa kwa kutofika watu wawili,sasa kama wabunge hawapo kesi si ingehairishwa tena? Sasa kutokuwa mbunge kwa dr we kunakuumaje? Rudi ulikotoka!
   
 19. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Tuache kuchangia kwa ushabiki hoja za msingi zinapoletwa jukwaani. Tutumie fursa kujifunza.

  Leo ni viongozi wa chadema huwezi kujua kesho nani atakuwa kwenye tatizo kama hili.

  Kisheria kama mshtakiwa hajafika mahakamani na yuko nje kwa dhamana hakimu anatakiwa amwite mdhamini na kumuamuru amlete mshtakiwa katika siku itakayopangwa.

  Mdhamini akishindwa kumleta mshtakiwa hatua inayofuata ni kuforfeit bond aliyoweka na baada ya hapo ndipo arrest warrant hutolewa. Kwa misingi hiyo ni dhahiri hakimu karuka vihunzi viwili.

  Swali la kujiuliza ni, je hakimu amefanya hivyo by design or accidentally? Kama ni accident should it be taken in isolation with dhamana ya Mheshimiwa Lissu. Makosa hayo ya mahakimu kukosea katika misingi ya sheria ya dhamana yakichukuliwa kwa pamoja mtu wa kawaida anapata hisia gani??

  Je kama mahakama kuu haitaingilia kurekebisha makosa hayo jamii itaathirika vipi????
   
 20. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  you are a disgrace!!!!!!!!!!!!
   
Loading...