Nakufa na CCM yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakufa na CCM yangu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUA GAMBA, May 28, 2011.

 1. V

  VUA GAMBA Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani chama changu cha magamba kiko ICU. Kina hali mbaya sana. Enzi za uhai wangu nilijaribu kukilinda kwa majini na maruhani kutoka kuzimu kwa baba yangu Shetani, lakini bado nilipata wakati mgumu.

  Nilipata wakati maana nilikuwa natumia mbinu za kutisha tisha kwa mfano "ATAKAYEMPINGA JK 2010 ATAKUFA GHAFLA" na ile nyingine"UCHAGUZI MKUU UTAAHIRISHWA MAANA KUNA MGOMBEA URAIS ATAKUFA"

  Watu wenye akili kama waandishi wa Mwanahalisi, RaiaMwema na TanzaniaDaima walihoji kauli zangu. Lakini wale waandishi vilaza ambao hawakwenda shule kama wa MtanzaniA na Rai au SautiHuru waliishia kunishabikia bila kujua nilikuwa natumiwa.

  Nilipomtabiria JK ushindi alinipeleka India kwa matibabu.

  Lakini kifo changu kitaacha pengo. Sidhani kama atapatikana Ngariba mwingine wa kuwatisha watu kama nilivyofanya. Looh! Nauona mwisho wa CCM waziwazi. Jamani nakufa lakini CCM itanifuata hivi karibuni. Ooh! Maskini mimi! NAKUFA NA CCM YANGU.

  Yours sincerely,
  Sheikh Mahaya ya Hussein.
  P.O.BOX 000.
  KUZIMU!
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mwalimu ndio alikufa na CCM yake, mbona kimekufa we upo hai anyway umekufa na propaganda zako:smow:
   
 3. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duuh! Umenena ukweli mtupu eeh kijukuu cha Shetwani. Kapumzike kwa amani, CCM na magamba yake itakufuata hivi karibuni!
   
 4. V

  VUA GAMBA Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli we ni Pompo, meaning Kilaza. Mbona unaonekana kumkubali huyo mchawi?? Au nawe ni kijukuu cha gagula?
   
 5. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duuh! Very weak minded.
   
 6. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  ni kweli lakini Mwalimu alikufa na CCm yake, sasa hivi ni genge la wahuni ambao wanatumia siasa kujinufaisha
   
 7. vena

  vena JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora ufe tu coz hunafaida katika taifa.....watanzanzania jamani natoa wito hakuna kwenda mazishin ajizike mwenyewe.......!!!!
   
 8. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aliwahadaa sana wa tz,wacha ufe na ccm pamoja na hao wasanii wakufuate,nasema wasanii maana nchi inaendeshwa kisanii na hao wakubwa!ulale mahala pema kuzimun
   
 9. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ok mie ni kilaza we kilazwa usichonielewa ni nini? siwezi andika kama shairi lako but am saying Nyerere ndio alikufa na CCM toka mwaka 91 CCm ilikosa muelekeo na mpaka kufikia kuamini wanajimu kama wewe. by the way Shekhe yahaya alikuwa nani CCM? yup! ni propagandist
  we kilazwa aje aisee ama umelazwa?
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kufa mwenyewe kudadadeki! Hicho si chama tena bt genge la mafisadi na wajinga!
   
 11. S

  SURA SIO SOHO Member

  #11
  May 28, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Burian ndugu yangu, ulale salama,
   
 12. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Taifa litapata muelekeo pindi genge la wahuni litakapo achia madaraka kwa wananchi. Vipi moto wa huko akhera una uhimili vipi Shehe Mahaya?
   
 13. V

  VUA GAMBA Member

  #13
  May 28, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli tohara kwa wanawake ni mbaya. Kumbe toka wakukekete umepoteza memory kabisa. Eti Nyerere alikufa na ccm yake, alafu unatoa refference ya mwaka 91. Nani alikuambia nyerere alikufa 91?. Tena inavyoonekana wewe ni mkimbizi, maana hata tarehe muhimu za nchi huzijui. Pole!!
   
 14. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kufa tu ewe mchawi wa JK. Ulitisha wengi kwa hadaa zako zilizojaa siasa za maji taka.

  Lakini hufi na ccm maana ccm ilishakufa kitambo. Unakufa na kikundi cha wasanii ulichokuwa unakitumikia.! Buriani Shehe Mahaya...
   
 15. K

  KASIGAZI Member

  #15
  May 28, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama mbuyu umeanguka matawi yake yatawezaje kubaki? Wahuni na wasanii waliojifanya viongozi kwa nguvu za fedha za wizi, mabingwa wa ushirikina, kamanda wao hayupo tena. Kifuatacho ni nini? Matawi ya mti yako chini..u will see soon
   
 16. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani eeh, leteni hoja jamvini. Hakuna maslahi yoyote kwa kumjadili mtu aliyefahamu fika ya kuwa atakapokufa makazi yake kuzimu. Tujadili ni jinsi gani jf itawafikia watu wa vijijini ili waweze kupata wengi wetu tunachofikria. Huyo jamaa tayari yuko kuzimu.
   
 17. V

  VUA GAMBA Member

  #17
  May 29, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  u are right bro. Bt we cn not predict our future if we cn not correct da previous mistakes. Amehadaa watanzania na kutukwamisha sn kimaendeleo. So, tunadiscuss coz still wapo viongozi wetu wanatumikishwa kwny ushirikina.
   
Loading...