Kwanini Nguvu ya Umma haikutumika kwa Tundu Lissu TARIME?

apolycaripto

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
644
225
Tarime ninavyoifahamu kwa mavurugu,nashangaa kwa nini Nguvu ya umma haikutumika kama ilivyotokea Arusha, pindi Tundu Lissu alivyokamatwa na kutiwa lupango.Kilicho mpeleka Tundu Lissu Tarime ni kuwatetea wana umma hao kwa mateso na vifo kupitia CDM.Nimeshangaa kwa nini Wana Tarime walibana kimya bila hata maandamano ya kutia kashikashi mkombozi huyu kuachiwa kama desturi yao.Je! kwa hali hii inamaana hata wao hawakumtaka? ama dola iliwazidi nguvu?
 
Tarime wanazo akili si kila msanii anaweza kuwashawishi mlie tu Tarime ya sasa siyo ya Jana . Hatudanganyiki.
 
Tarime wanazo akili si kila msanii anaweza kuwashawishi mlie tu Tarime ya sasa siyo ya Jana . Hatudanganyiki.

Unatoa hoja kama apolycarpto halafu unajijibu kama sailor1. Bado unataka tukuamini kuwa unaishi Tarime na watu wooooote huko mko makini, ni CCM na hamdanganyiki na CDM. Ama kweli usalama wa taifa waajibika kwa chama cha magamba kwa maslahi ya mafisadi.
 
2007-10-19-tanzania-president%2005.jpg
 
Back
Top Bottom