Sifa za kiongozi anayefaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa za kiongozi anayefaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by plawala, May 28, 2011.

 1. p

  plawala JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1.Awe na uwezo wa kiakili (redeemed intelectual capacity)
  2.Anamudu majukumu yake kiufasaha
  3.Anaweza kuomba radhi akifanya makosa ya kiutendaji
  4.Anaweza kuachia ngazi kwa hiari akishindwa kuwajibika
  5.Anaweza kusimamia ukweli kwa gharama yoyote
  6.Fikra,manaeno na matendo yake yanaendana
  8.Hafanyi kazi kwa kuridhisha maswahiba au kundi fulani
  9.Ni jasiri na akili yake haikopesheki
  10.Misimamo,maelekezo,ahadi zake zinatekelezeka
   
Loading...