Hofu ya Mungu Imeenda Wapi....?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hofu ya Mungu Imeenda Wapi....??

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Erick G. Mkinga, May 25, 2011.

 1. Erick G. Mkinga

  Erick G. Mkinga Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zanguni,katika mafundisho yangu ya dini nimefundishwa kuwa Uongozi wowote ule unatoka kwa Mungu,..Na sio kwa SHETANI hata kama umeingia kwa RUshwa...Lakini mwenyezi Mungu anaacha ata ule uongozi mbaya ili tukome,tutambue kwamba tumesahau kumfikiria yeye na kuabudu miungu mingine,..Tunaona mfano wana waisrael walipokuwa wanakosea Mungu aliwaadhibu kwa Kuwaweka chini ya mataifa mpaka walipotubu...Sasa je Leo Tanzania huu uliopo ni Uongozi wa namna Ipi..?Umetoka kwa Mungu hakuna ubishi lakini ni ili TUKOME au TUFURAHI..na kama ili TUKOME ,,..unaamini kwamba Maandamano ya CHADEMA ndio njia Ya Mwenyezi Kutukomboa,..Bila ya watu kumgeukia YEYE...
   
 2. Mantissa

  Mantissa JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Hapo penye wino wa blue, sentensi hii siyo kweli. Shetani pia ana watu wake na anawapa uongozi kama ulivyo sasa. Huu uongozi umetoka kwa shetani baada ya watu (CCM) kuiba kura,So Erick, uongozi tulionao ni wa shetani tupu, chaguo la Mungu lilipokonywa uongozi
   
Loading...