Dovutwa wa UPDP, keshanunuliwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dovutwa wa UPDP, keshanunuliwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rugaijamu, Oct 29, 2010.

 1. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,626
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Ni kwamba mgombea urais kwa tiketi ya UPDP, ametangaza kuwa kura zake zote (waliopanga kumpigia) ziende kwa mgombea wa ccm, JK.

  Sababu kukosewa jina lake kwenye fomu za uteuzi.

  Tutarajie mengi kutoka UPDP na Dovutwa

  CHANZO: Taarifa ya TBC saa saba.
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,394
  Likes Received: 1,550
  Trophy Points: 280
  Ni Dovutwa. Amejitoa na kuacha ujumbe kuwa wote waliotaka kumpigia kura, wampigie Kikwete!
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 9,659
  Likes Received: 2,976
  Trophy Points: 280
  Huyo kuanzia usajili wa chama chake mpaka fomu ya ugombea kalipiwa na TISS
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  Unacheza na mijihera ya mafisadi mwenzio wa Iringa yuko hoi na stroke juu.
  Unacheza na usaliti kwa nguvu ya umma
   
 5. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh,nani angempigia !kajitahidi nani angemjua kisha andika historia ya kijinga naye
   
 6. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :rip:CCM
   
 7. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 792
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kachakachuliwa huyo
   
 8. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 8,858
  Likes Received: 2,020
  Trophy Points: 280
  Inatakiwa ashitakiwe kwa kuliingizia Taifa hasara. Hizo pesa zilizotumika kuweka jina lake kwenye makaratasi ya kura na nk atulipe.
   
 9. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,013
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Huu si utani huyu mtu simjui. Kabisa, naomba mnisaidie , ni jina la utani au? Dovutwa??!!
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,440
  Likes Received: 14,750
  Trophy Points: 280
  kashapewa hela huyu
  nani kwanza alikuwa na mpango wa kumpigia??
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,440
  Likes Received: 14,750
  Trophy Points: 280
  nick name ya jk
   
 12. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,013
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kuna siku niliwaambia kuwa vyama kibao ni matawi ya CCM. Nikatolea mfano hata NCCR Mageuzi kwa kuwa Mrema, na mwenyekiti wa sasa wote wanaonekana mamluki wa CCM.

  Sasa yanatokea, yeye ni MHUNI BY NATURE
   
 13. A

  August JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,201
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 280
  vipo vyama vingi vinawekwa ili kukisaidia chama cha mafisadi , moja kumchafua mpinzani halisi wa mafisadi pili yaani inakuwa kama kampeni ya ziada ya mafisudi, pili kugawa kura za wanaopinga mafisudi, ni juu ya wananchi kuelewa chama/vyama pandikizi kwa ajili ya shughuli kama hii.
  kipo kingine ni kikubwa kinaitwa ccm-b lakini ukikitaja unaweza ambiwa wataka kuvunja amani ya nchi.
   
 14. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,013
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kwa leo mtanisamehe niwe mjinga ili nielimike, Kwa kweli hili Jina DOVUTWA sikulifuatilia. Inakuwaje tena JK akawa dovutwa?
  Na mbona sijamsikia akijitoa?
  sasa akijitoa si inabidi aseme badala yake wamchague Slaa?
   
 15. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,750
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  hee sasa alidhani atapewa kura ya nani! wengine bwana kala pesa zake hapo!
  Mafisadi wanataka nini nchi hiii hawajalidhika tuuu!
   
 16. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,665
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  Kampeni kafanyia chumbani kwake,hata mama yake mzazi alisema ni MCCM,sasa wakuu nyie mna wasi wasi nae? asingepata kura nyingi za maana.
   
 17. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,013
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Asante sana, unajua hawa ni sisimizi kabisa katika jiji la Beijing.

  Ni watu hatari sana kwa hii nchi, na wakifa tu watahukumiwa na Mungu. Kuhujumu watu masikini kwa maslahi yao!
  Watoto, wamama wajawazito, wanafunzi, na watanzania kwa ujumla,
  Naona lazima watakuja kuhukumiwa vibaya sana!
  Kuna watu kibao, wanajua hawana uwezo kabisa wa kuongoza nchi, hawapigi kampeni, wanajua hawawezi kuchaguliwa kamwe, lakini lengo lao kugawa kura za wapinzani!

  Anyway, this is our choice, tungoje tu!
   
 18. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,013
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  sawa ndugu, lakini kwanini achezee maslahi ya watu wanyonge wa tanzania?
  na kuwavuruga wale wenye nia njema ya mabadiliko? Yaani nina hasira naye sana. pamoja na watu wengine wa aina hii.

  wameshakuwa bora ya panya wakichimba shimo.
   
 19. F

  Froida JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,310
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Hivi alikuwa nao hata hao wapiga kura manake kaugua wakati wote wa kampeni kabla hajaugua alikuwa anampigia chapuo dr slaa baada ya mahela amebadilisha lakini anawaangusha wenzake waliosimama kwa ngazi ya ubunge na udiwani mjinga sana huyu bwana
   
 20. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #20
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  anatafuta umaarufu tu. Alizindua kampeni siku nane kabla ya uchaguzi.binafsi kwa sura, ila door - vutwa hili jina nililisikia hv majuzi. Natamani nimtusi k***a huyu!
   
Loading...