Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanajamvi mjadala. tuchangie bila kuweka ushabiki wa vyama Kuna PM (FS) aliijaribu kuwkeza tanzania lakini matokeo yake mambo tuliyosoma kwenye vyombo vya habari yalikuwa ni ngetive zaidi kuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyota njema uonekana asubuhi na kijiji cha KABIGA mkoani Geita kimeshaanza kuwasha taa za kuelekea 2015 kwa kuibwaga CCM ktk uchaguzi huo na kuichagua chadema. SASA chadema inabidi muanze...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kweli maneno ya mboye kwamba watu wamekuwa wanalipana posho kwa semina ambazo wanaelewa kila kitu. Utashangaa semina za ukimwi au hata magonjwa mengine ni nyingi saana na kila kukicha...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kama ningeambiwa nikamate machangudoa lazima ningeaza na ccm. Maana maazimio yao huwa hayafanani na walivyo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuropoka kumetuathiri CCM-Guninita Na Anneth Kagenda CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, kimesema wamepata madhara makubwa kutokana na baadhi yao kuropoka na kutoa siri za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. CUF – TUNAIPONGEZA CHADEMA KWA KUKUBALI KUUNDA SERIKALI YA PAMOJA – ARUSHA” Imetolewa na Mhe. Julius MtatiroNaibu Katibu Mkuu - Bara Juni 21, 2011 CUF – Chama Cha...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
YAH: TAARIFA POTOFU YA GAZETI LA DIRA YA MTANZANIA TOLEO LA JUMATATU, 20 – 26 JUNI, 2011 ' SAKATA LA POSHO ZA WABUNGE' SPIKA MAKINDA MBUMBUMBU ‘Utafiti wabainianasimamia...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
TAFADHALI VYOMBO VYOTE VYA HABARI! Kwa kuzingatia uzalendo na maslahi ya umma, kwa kumwogopa Mungu na kutumia vipawa na previleges zenu kama wanahabari, tunaomba muitawanye, muandike kwa mapana...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Willium Lukuvi akifuatilia mjadala wa Bajeti Bungeni mjini Dodoma jana Mbunge wa Ilemela (Chadema) Highnes Kiwia ambaye aliiponda...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
There is only one option...to suffer the consequences. I can't imagine how CCM MPs wrongly decided to dump the strong man Samuel Sitta. I mean who advises CCM people? It is proving day in day out...
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Si mara ya kwanza kusikia raisi wa nchi fulani baada ya kuondoka madarakani amejilimbikizia mamilioni ya dola kwa ajili yake na familia yake, leo kuna taalifa za raisi Ben Ali wa Tunisia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani Nimekuwa nikifuatilia Bunge kupitia dondoo zinazorushwa hapa JF. Nimekuja kugundua kwamba sioni kabisa michango inayogusa masilahi ya watanzania kwa ujumla ikitokea kwenye vyama vingine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kweli mi nakerwa sana na usiri uliopo serikalini na mjengoni maana mtu anapokosea au kwenda kinyume na utaratibu wa bungeni mbunge husimama na kuomba mwongozo wa spika kwa mbwembwe nyingi sana...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Inasemekana baada ya yale mapigo ya Mbowe leo, CCM sasa wanahaha na Katibu Mkuu wa CCM ameambiwa amwandalie Waziri Mkuu majibu ili wajihami na mapigo ya Mbowe!!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni ukweli usiopingika issue ya posho ya Dr.Slaa imekuwa gumzo na pengine imempa wakati mgumu Dr. Ni Mh.Mbowe aliyetoa siri hii mara ya kwanza kwenye public na kusisitiza uamuzi wa chama kumlipa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Asema mwenendo wa wabunge si mzuri Umepotezea Bunge mvuto kutokana na vituko Katika kile kinachoonekana kuwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, ama kazidiwa au kuchoshwa na mwenendo wa wabunge katika...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeingia kwenye mgogoro baada ya baadhi ya wabunge kupandwa na hasira dhidi ya wenzao wanaoendesha kampeni ya kutaka posho za vikao kwa wabunge...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Tuesday, June 21, 2011, 7:28 Habari kuu, The african Denies bias Reiterates firm stand on PSO Ready to testify Disturbed by sensationalism BY SYLVESTER JOSEPH IN DODOMA THE Speaker for the...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna mambo mengi yanatokea nchini ambayo yanagusa maslahi ya wafanyakazi. Mambo ambayo kuendelea kwake kunahatarisha maslahi ya wafanyakazi na mambo mengine ambayo yamesababisha ukimya na utulivu...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Ndugu zangu wanajamvi. Leo nimeguswa kutoa mawazo yangu juu ya mijadala mingi kuhusu kiini cha matatizo ya watanzania. Yamesemwa mengi na pengine si vibaya nikayarudia kumi bora kati ya yale...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…