Je Mbowe amemkaanga Dr. Slaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Mbowe amemkaanga Dr. Slaa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FIDIVIN, Jun 21, 2011.

 1. FIDIVIN

  FIDIVIN Senior Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni ukweli usiopingika issue ya posho ya Dr.Slaa imekuwa gumzo na pengine imempa wakati mgumu Dr.
  Ni Mh.Mbowe aliyetoa siri hii mara ya kwanza kwenye public na kusisitiza uamuzi wa chama kumlipa Dr. kwenye vyombo vya habari mara kadha.
  Je kulikuwa na sababu ya kuweka wazi posho hii? Mbowe hakujua madhara yake? Hakujua sheria ya kodi inasemaje na jamii hasa wapinzani wake watasemaje? Dr. sasa kimya! hana ujasiri tena kuongelea mambo ya posho na matumizi mabaya. Je pengine alifanya makusudi na kwanini?
   
 2. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hii thread yako ni bora ungeipeleka Face book, hapa sio mahala pake coz haieleweki na hata ikieleweka sidhani kama itakuwa na mashiko.
   
 3. m

  mwanakazi Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwenye nia njema aumbuki hata cku moja ndugu!!!akiumbuka ujue ni kwa mda tu!ila badae watu watamuelewa!
  suala la kuweka malipo ya dr hadharani ni jambo jema kabisa, wafiche ili iweje? wafiche wanaficha nini???? kuna lipi baya la kuficha? siasa za aina hiyo hazipo tena enzi hizi! c unaona jnci serikali ya ccm inavyoumbuka kila kukicha sababu ya fichaficha zao!

  sijaona madhara yoyote kwa cdm ktk hili! BUT nimeona ccm wamepata kigugumizi/wamebanwa na hatua hiyo ya cdm, coz wanaogopa hata kulishabikia hili kwani wataulizwa ya kwenu vipi? chama chenu kinakusanya ngapi? mnalipanaje? af'wachunguzi wakafukue wakute uozo!

  so i think hatua ya cdm kutangaza matumizi yao kwenye uchaguzi na posho ya dr ulikua mtego mzuri sana kwa ccm kwa namna flani!kwani kama wangelishbikia sana wangeambiwa wataje matumizi yao pia kwenye uchaguzi na posho zao!
  NADHANI UNAJUA NINI KINGETOKEA KAMA WANGETAJA! UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI
   
 4. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Pengine nikiwa kama mtumishi wa Umma nikiguswa na cheap political schemes ya CHADEMA kuhusu posho kwa watumishi nafikiri wabunge wa CHADEMA wangetupa jawabu kwanini kutoka mshahara wa 2,500,000 mpaka millioni saba na zaidi wakati wakisema posho ni ubadhirifu wa fedha za umma? Ukirudi bungeni hali ndio hiyo hiyo na kile wanachokitaja ni peanut kulingana na maposho halisi wanayochukuwa. Tuseme hichi ni choyo cha wabunge kwa watumishi wa serikali na huivyo wameamua kutowa muhanga ile posho pekee anayopata mtumishi wa umma huku wakijuwa fika kuwa watumishi wanapata posho hiyo tu kwa kuondowa ukali wa maisha na wao wanapata mamilioni kwa njia hiyo hiyo.
  Nawachallenge watwambie hizo posho nyengine wanazopata jee mtumishi wa kawaida haihitajii huduma hizo na ni pekee kwa binaadamu anaeitwa mbunge?
   
 5. J

  John10 JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes, alifanya kwa makusudi. Kuna mpango maalum unaandaliwa wa kumuondoa Dr. Slaa madarakani, kwa sababu Slaa haisaidii chama zaidi ya kuropoka tu kila siku. Upo mkakati maalum ambao unafanyika wa kumuondoa Slaa, haraka iwezakanavyo.
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hapa mkuu, mbowe hajamkaanga slaa....
   
 7. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  c.r.a.p!
   
 8. J

  John10 JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kulikuwa na haja muhimu ya kuweka hadharani posho za Slaa, kwa sababu alikuwa anataka aongezewe zaidi. Hapo ndipo Mbowe akaona bora atoe hadharani kwa makusudi ili tuangalie mkakati mwingine. Usiwe na pressure, kuna process ya kumuondoa Slaa, ambayo inapikwa sasa hivi.
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  kwahiyo alipwe laki 3 ili atembelee na baiskeli . Tunajipanga kumlipa maslahi bora zaidi .
   
 10. kade030

  kade030 Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SLAA level ya raisi yule na zaidi... kumlipa mshahara kama mbunge wa kawaida ni kumdhalilisha kabisa... Apewe posho za maana azunguke nchi nzima ili magamba yawe rehani 2015... Naomba Slaa apewe zaidi mahela ili magamba yawekwe rehani zaidi na zaidi...
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  dhana nzima ilikuwa ni kufuta posho za vikao na kuongeza mishahara na ufanisi. ulishawahi kumfikiria mtu anelipwa laki mbili kwa mwezi akistaafu anapata pensheni sh ngapi na inamsaidiaje kuukabili mtaa? tumechoshwa na wafanyakazi wanaotapeli hata karatasi/fomu za maelezo ili kujikimu! ufanisi utaongezeka maana unakuta bosi anahudhuria vikao vitatu mjini,na yy io mtenda kazi ni mtalii kama rais wetu! kama hakuna posho,the ight pple will be assigned kazi,watafuatilia na vijana watajengeka kitaaluma zaidi. unadhani kwa nini succession serikalini ni issue? mtu anakumbatia barua kama uchawi! hilo la posho lifutwe,linasababisha waliovimbiwa kusahau kuna wenye njaa.
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  umemaliza mkuu! ccm wameshashtukia ukiishi kwenye nyumba ya vioo mwenye mawe mkononi unampotezea kiaina!
   
 13. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Kwanza ujue hizo salary schemez imepangwa kifisadi na CCM na serikali yake, hivyo huwezi kuwalaumu CDM kwa hilo. Ndio maana CDM wanaomba ridhaa ya watanzania ili waweze kuoverhaul the wahole system
   
 14. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Issue hapa ni kwa nini mshahara wa mtumishi wa chama uwe -pegged kwenye ule wa mbunge wakati kazi za utumishi wa chama ni tofauti na zile za mbunge? Hapa ndipo tunapotaka majibu ya kina lakini wajuaji wanaipotezea hoja hii!
   
 15. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dr ni mwenyekiti wa chama.mbunge ni m2 msdogo sana.
  dr mshahara wake unatakiwa kuwa zaidi ya mwenyekiti na katibu wa ccm.
  tunafikiria kumuongeza zaidi ya hapo ili 2015 tumalize kazi.
   
 16. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hapo juu nime
  kosea ni katibu
   
 17. M

  Mkali wa Leo Member

  #17
  Jun 21, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  cdm ni upuuuuziiiiiii
   
 18. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Pole kwa kuathiriwa na uchadema, hata mambo ya ukweli unogopa kuchangia
   
 19. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Waliutumwa na CCM utawajua tu na thread zao zisizokuwa na mvuto, hazina tija na wala hazieleweki!! Mods???
   
 20. O

  Oldarasu Member

  #20
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Fidivin napenda sana baiskeli yako! Nataka niseme kwa kifupi kabisa kwamba hakuna namna ya "kumkaanga Dr. Slaa katika kuweka wazi posho anayopewa. It is a matter of transparency and with me nothing wrong whatsoever! Kwani Dr. anapata milioni 90 za mkopo wa gari ama mkopo wa milioni 200 ambao mbunge anadhaminiwa na Serikali ili auchukue? Nilisoma Gazeti la Mwanahalisi wiki kama nne zilizopita ambapo Chadema waliainisha vizuri sana posho ya Dr. Slaa. Zaidi ya yote hakujipangia mwenyewe Mbowe huyo huyo na wenzake ndani ya Chadema ndio walioketi na kufanya hesabu na kuamua kumpa walichoamua kwa ajili ya kazi za chama na hilo pia walilisema. Now what is the probem maana wanachopata waheshimiwa wabunge is far above what the dear Dr. is getting altogether. In short, anachopata Dr. Slaa ni posho ya kawaida kabisa ambayo sehemu yake kubwa (kulingana na mwainisho wa Chadema yenyewe) sehemu kubwa ni kwa ajili ya kazi ya chama. Ushauri wangu ni kwamba yafaa tunapozungumza issues tuangalie ukweli zaidi kuliko siasa za kihafidhina ambazo hazina mantiki wala tija.
   
Loading...