Suala si kujivua gamba bali ni kukata vichwa - Renatus Mkinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suala si kujivua gamba bali ni kukata vichwa - Renatus Mkinga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kichenchele, Jun 21, 2011.

 1. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kama ningeambiwa nikamate machangudoa lazima ningeaza na ccm. Maana maazimio yao huwa hayafanani na walivyo.
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi habari hii na hicho kichwa cha habari mbona vinakataana kama vile bara na pwani?
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Kaka!! Ndugu Mkinga na mkubali sana! kicha cha tread hii hakiendani na habari kamili!! Kama ametoa kauli hiyo usiichakachue, ilete kama ilivyo!!
   
Loading...