Wapinzani wengine wako wapi bungeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapinzani wengine wako wapi bungeni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Taifa_Kwanza, Jun 21, 2011.

 1. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani

  Nimekuwa nikifuatilia Bunge kupitia dondoo zinazorushwa hapa JF.
  Nimekuja kugundua kwamba sioni kabisa michango inayogusa
  masilahi ya watanzania kwa ujumla ikitokea kwenye vyama vingine
  vya siasa isipokuwa CHADEMA pekee.

  Je hii inawezekana ikasababishwa na
  1. Ndoa ya CUF na CCM zanzibar imewaparalize wabunge wa CUF
  toka pande hizo?

  2.Wabunge wa CHADEMA wanacourage kubwa ya kufanya kazi
  sababu wanaconfidence ya UMA.

  3. Matokeo ya semina elekezi za DR kwa wabunge wake?

  4. iko wapi network iliyoundwa na wabunge wa CUF, NSSF na CUF
  dhidi ya CHADEMA kwenye previous session?

  5. Wabunge wa CHADEMA are just smartier.
  au nini?

  Sababu Bunge limekuwa very one sided, CHADEMA attacks, CCM
  defends, CHADEMA attacks, CCM defends.
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wapi hao, Si NCCR na CDM. Wengine wamehamia Magambas
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wako bize na vibinti vya cbe
   
Loading...