mpendwa wetu Jakaya naye yumo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mpendwa wetu Jakaya naye yumo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by oba, Jun 21, 2011.

 1. oba

  oba JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Si mara ya kwanza kusikia raisi wa nchi fulani baada ya kuondoka madarakani amejilimbikizia mamilioni ya dola kwa ajili yake na familia yake, leo kuna taalifa za raisi Ben Ali wa Tunisia aliyeondoka madarakani kuhukumiwa 35 years jela kwani alikutwa na mamilioni ya dola akiwa ameyaweka kwa ajili yake na familia yake; Mubarak naye vivyo hivyo, Bagbo naye, Gadafi naye yumo; Je na mpendwa wetu Jakaya atakuwemo kwenye ubinafsi wa namna hiyo akistaafu?
  Suleimani wa misahafu ya Mungu aliwahi kusema; kuna faida gani kuchuma utajiri mwingi na kisha ukafa na kuacha mali hizo ktk mikono ya wasio na hekima hata robo ya ile yako?Jamani duniani tunapita, tulikuja bila kitu na tutaondoka duniani bila kitu.
  Nawasilisha!
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ahsante kwa kutukumbusha.
  may god bles u!!!
   
 3. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  acha kumchulia Jakaya.
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hawezi kosekana na hatia
   
 5. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  tangu lini jk ni pendwa katika taifa hili?
   
 6. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama ni kweli amefanya hatuna jinsi tutamsindikiza kwa macho tu akiwa kapigwa ile kitu inaitwa Tanganyika jerk a.k.a mkunyeto,Akizubaa ataondoka kama Kaunda!
   
 7. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  [h=3]Viagra inasababisha uziwi[/h]
  LOS Angeles, Marekani

  MPENDA ngono mkongwe Hugh Hefner, amekuwa na matatizo ya kusikia kutokana na kutumia kiasi kikubwa cha dawa za kuongeza nguvu ya kufanya
  mapenzi Viagra.

  Anasema amekuwa akitumia dawa hizo, ili kuwa na nguvu na kuwatosheleza wapenzi wake wakiwemo mapacha wawili wenye umri wa miaka 21.

  Mapacha hao wa kizungu, Karrisa na Kristina Shannon wanasema kuwa babu mwenye miaka 85, Hefner hataacha kutumia dawa hizo kwa kuwa hapendi kuacha tabia yake ya kufanya mapenzi.

  Karissa alisema: "Alisema ni bora kuendelea kufanya mapenzi kuliko kusikia. Amekuwa na vitu vya kumsaidia kusikia kwa sasa na kwamba anasikia kwa sikio moja tu.

  "Unatakiwa kujifunza na kuzungumza katika upande wenye sikio linalosikia ili akuelewe.

  "Tunaweza kukaa mbele yake na anaweza kueleza kirahisi kile tunachosema."

  Uchunguzi uliofanywa Marekani mwaka jana, ulionya kuwa wanaume wanaotumia dawa za kuongeza hamu ya kufanya mapenzi, Viagra wanakabiliwa na athari za kupoteza uwezo wao wa kusikia.

  Daktari wa Sun, Carol Cooper alisema: "Husababisha athari katika neva."

  Mapacha wa kike wanaoishi katika nyumba ya Hef mjini Los Angeles kwa miaka miwili, wanasema babu huyo kwa sasa pia amekuwa akipoteza kumbukumbu. Karissa alisema: "amekuwa akisahau hata majina ya mbwa."

  Jumanne wiki iliyopita mchumba wa Hefner, Crystal Harris mwenye miaka 25 alitangaza kuachana na babu huyo, akisema hataki penzi la kuchangia na wanawake wengine.

  Karissa na Kristina, ambao wameanza kufanya mapenzi na Hef walipokuwa na miaka 18, wanasemekana wanafikiria kurejea katika nyumba yake.
  [​IMG]
   
 8. c

  chumakipate Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Dunia tunapita kila kitu kitabakia kwani binadamu ni mchanga JK take care utaadhirika nani alifikiri Ben Ali,Mubarak ,Gadafi na wengine yatawakuta after all dola zao zilikua na nguvu kuliko hii sembuse wewe utahimili vishindo?Time will tell.
   
 9. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Jamani mbona mnamuonea? Kale kajumba kadogo tu ka Msoga?
   
 10. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kama akiingia kwenye hiyo list ya masela wake, anaturudishia hiyo aliyo kwiba then badala ya kifungo tunamla mishikaki.
   
Loading...