Mukama Kuandaa Majibu Kujibu Mapigo ya Mbowe!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mukama Kuandaa Majibu Kujibu Mapigo ya Mbowe!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr. Zero, Jun 21, 2011.

 1. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 8,526
  Likes Received: 1,694
  Trophy Points: 280
  Inasemekana baada ya yale mapigo ya Mbowe leo, CCM sasa wanahaha na Katibu Mkuu wa CCM ameambiwa amwandalie Waziri Mkuu majibu ili wajihami na mapigo ya Mbowe!!
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,103
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  mukama + pinda = 0
   
 3. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Serikali ya magamba hovyo kweli, yani majibu ya serikali yanaandaliwa na katibu mkuu wa chama cha magamba
   
 4. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ngoja tusubiri tuone kama uongo huweza kujibu ukweli.
   
 5. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mbona magamba hajamaliza kuyashughulikia, you are using a multitasking system, mtamuumiza huyo mzee Mukama
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Majibu tunayotaka ni utendaji unaokubalika na tunaotazamia watanzania, wapinzani wananadisha sera ili wachukue nchi, CCM imeshika nchi sitegemea CCM kunadi sera ila kutekeleza sera. Mbona CCM wanacheza machezo wasiojua unaowatumbukiza kwenye shimo refu.
   
 7. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,259
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Hatuhitajki majibu, hawa watu wanadhani kila kitu kinahitaji kulumbana...tunataka wadondoshe kitendo tu basi!!
   
 8. sifongo

  sifongo JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 4,440
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  poor ccm!
   
Loading...