CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,914
Kwa kweli maneno ya mboye kwamba watu wamekuwa wanalipana posho kwa semina ambazo wanaelewa kila kitu. Utashangaa semina za ukimwi au hata magonjwa mengine ni nyingi saana na kila kukicha wanazungumizia jinsi ukimwi unavyo ambukizwa. Je ni kwamba mpaka leo hii kuna kiongozi wa serikali isiye jua ukimwi unaambukizwaje?