Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hawa ndiyo vinara wetu wa kuchakachua haki zetu, check wanao ongoza kwa kupata mlungula hapa TANZANIA 1. JESHI LA USAALAMA WA RAIA (POLISI)65.1% 2.MAHAKAMA 56.4% 3.MAMLAKA YA USAJILI WA UZAZI NA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba kufahamishwa,je Burundi na Rwnda kuna madini???Kama hawana je nini kinawavutua wafaransa na wabelgiji????
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hatimae ule utata wa meya ulio sababisha watu watatu kupteza maisha umepatiwa ufumbuzi baada ya mazungumzo yaliyokuwa yakifanywa na Waziri mkuu na Freeman Mbowe, kufikia mwafaka kuwa madiwa wakae...
3 Reactions
281 Replies
22K Views
Benki ya CRDB leo hii ilikuwa inafanya mkutano wake mkuu wa 16 huku Arusha katika ukumbi wa AICC. Katika kikao hicho, Mh. Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye alikuwa anagombea ukurungezi wa benki...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Tuko ktk mkutano wa CDM tawi la UDOM. Sasa viongozi wa w/funzi wanatoa nasaha zao. Wanahamasisha vijana kujiamini na kuisoma na kuijua vizuri na siyo kuwa mashabiki wa kisiasa tu.
3 Reactions
62 Replies
6K Views
Written by Hassan10 // 26/06/2011 // Habari // 6 Comments na Mwandishi wetu SERIKALI imetangaza rasmi kuwa Katiba mpya itazinduliwa Aprili 26 mwaka 2014, siku ambayo itakuwa ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Concern raised as JK plays hosts Kenya ICC suspect Send to a friend Sunday, 26 June 2011 12:43 Kenya's suspended Higher Education minister and International Criminal Court (ICC)'s...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amesema uzinduzi wa Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, utafanyika ifikapo Aprili 26, 2014 katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na...
0 Reactions
3 Replies
987 Views
I read this article with really strange numbers. If they are correct we have some ****** running the show. Mr. Jilima said that the $530.6 million will see the construction of 100MW power...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Written by Hassan10 // 26/06/2011 // Habari // No comments Mh Nahodha asingwa apate kuimaliza vizuri Z'bar ambiwa(Good boy). Kama kweli Wzanzibar tumezamiria kweli kweli kuwa huru ktk taifa letu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Joster Mwangulumbi Sub category: Wazo Mbadala CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kilianzisha mradi mchafu kilipobaini uwezekano wa kusombwa na kimbunga cha mageuzi na kukataliwa na wananchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By In2EastAfrica - Sun Jun 26, 2:24 pm Minister of Finance and Economic Affairs, Mustafa Mkulo No matter how many times the opposition camp may raise pertinent issues in the Tanzanian...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
hiyo post nimeitafuta sana, lakini nimeikosa...ama ame-edit ama ame delete. lakini ninhependa kuwaonya ndugu zangu wa CCM ambao ni memba wa forum hii kwamba poasts zenu zenye mrengo wa kupinga...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Viongozi wa dini: Tumechoka wageni kunufaika na rasilmali za Watanzania Saturday, 25 June 2011 10:15 Fidelis Butahe Mwananchi VIONGOZI wa dini mbalimbali nchini wamesema wamechoshwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Gazeti la Mwanahalisi mmetuchosha sana. Hivi hamna webiste editor au kazi imewashinda? """" Hii habari ya Rostam na Lowassa kumzima Kikwete"""" mtaiondoa lini imekaa kwenye front page wiki ya 2 na...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
The United Republic of Tanzania is located in eastern Africa, consisting of mainland Tanzania and the islands of Zanzibar with the population of around 42 million (official projections for...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mafuta tunayopaka katika miili yetu ni kitu kisichozungumza, lakini athari zake ni kubwa. Ubaya au uzuri wake husikika na kuonekana kwakuhisi harufu za aina mbalimbali yanazotoa na hatuwezi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye hii article tunaomba atuletee hapa Huyu jamaa alimwaga nondo ya kufa mtu maybe wengine wanaweza kufaidika nayo tena
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu!!naombeni kueleweshwa juu ya hili jambo,hivi karibuni 2mekua 2kisikia kuwa ccm imejivua gamba,na wanachama wake wote wanao2humiwa kwa kashfa za ufisadi{hasa lowasa,rostam na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa jinsi nielewavyo mimi nchi inasimamiwa na mihimili mikuu mitatu(Bunge, Mahakama na Serikali kuu). Kili mhimili unafanya kazi zake "independently" ili kutekeleza majukumu yake. Kazi ya bunge ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…