Je Rwanda na Burundi kuna madini???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Rwanda na Burundi kuna madini????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kitabu, Jun 25, 2011.

 1. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wakuu naomba kufahamishwa,je Burundi na Rwnda kuna madini???Kama hawana je nini kinawavutua wafaransa na wabelgiji????
   
 2. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanawake wao wazuri.
   
 3. oba

  oba JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Niliwahi kusikia redioni BBC kuwa burundi kuna madini ya bati sijui rwanda
   
 4. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa ufahamu wangu nchi hizi hazina madini,wanategemea zaidi kilimo,japo kuna jamaa kanambia wanamadini mengi,ndo mana nauliza Kama kuna mwanaJF anaufahamu wa jambo hili!!!! NAWASILISHA
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  lugha na upapa
   
 6. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Unamaana gani????
   
Loading...