kwa mwendo huu tutafika??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa mwendo huu tutafika???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AKYOO ELIUD, Jun 26, 2011.

 1. AKYOO ELIUD

  AKYOO ELIUD Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Hawa ndiyo vinara wetu wa kuchakachua haki zetu, check wanao ongoza kwa kupata mlungula hapa TANZANIA
  1. JESHI LA USAALAMA WA RAIA (POLISI)65.1%
  2.MAHAKAMA 56.4%
  3.MAMLAKA YA USAJILI WA UZAZI NA VIFO (RITA) 46.7%
  4. JESHI LA MAGERZA TANZANIA 43.2% 5.MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA 40.8% 6. MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA)37.8%
  7. MAMLAKA YA UHAMIAJI 37.2%
  8. WIZARA YA ARDHI 32.8% embombo jiripo. kazi kwelikweli
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Hizo % hazi tally.
   
 3. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Afadhali wewe umeona hilo manake me naona mauzauza tu
   
Loading...