Mh Sumaye achaguliwa kuwa mkurugenzi CRDB | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Sumaye achaguliwa kuwa mkurugenzi CRDB

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Jun 25, 2011.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Benki ya CRDB leo hii ilikuwa inafanya mkutano wake mkuu wa 16 huku Arusha katika ukumbi wa AICC. Katika kikao hicho, Mh. Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye alikuwa anagombea ukurungezi wa benki hiyo, ambapo wanahisa walimchagua kwa kwa asilimia 60%.

  Tunakupongeza Sumaye kwa kuchaguliwa kwako, sasa chapa kazi na usiingize siasa katika benki.
   
 2. O

  Ogah JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  eti nini?
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Sumaye anafaa kuwa Rais
   
 4. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mmh haya!
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu hujaelewa hapo nn sasa ? Sumaye amechaguliwa kuwa mkurugenzi wa bodi
   
 6. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  .......,kama ulivyockia! Kakamata usukani wa jahazi la CRDB.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  aisee.... naona kama kugombea ukurugenzi from a prime minister kama mdondoko hivi, sijui lakni
   
 8. womanizer

  womanizer Senior Member

  #8
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo Kimei amestaafu?
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkurugenzi, hutaki? Hawa ni non-executive directors ambao wanachaguliwa na shareholders. Usije ukadhani ndio anachukua nafasi ya Dr. Kimei!!
   
 10. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hivi mkurugenzi huwa anachaguliwa kwa kupigiwa kura au unasema m/kiti wa wanahisa?
   
 11. e

  ebrah JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  a man z bright! and loyal, be strong and work smartly! usirudie makosa!
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  kikao cha board masaa 2,posho huwa 1m na kuendelea
   
 13. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  huuu ni upuuuzi kabisaaa!!!!!! khaaaaaaaa!!!!!!!
   
 14. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwa mujibu wa sheria ya makampuni ya mwaka 2002, wakurugenzi (non executive directors) huchaguliwa na mkutano mkuu kwa njia ya kura za siri, na sio za ndio au hapana. Kwa maana hiyo basi, yeye anakuwa mmoja wa board members
   
 15. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Vipi kuhusu KIMEI?
   
 16. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wapi hiyo mzee ?
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  good explanation mkuu
   
 18. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #18
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Nahama bank...
   
 19. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu wakurugenzi (non executive directors ) huchaguliwa na mkutano mkuu kwa kura , ambapo atakaye chaguliwa anakuwa ni mmoja wa wajumbe wa bodi. Kimei yeye ni managing director mkuu
   
 20. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #20
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  muombe ukanywe nae chai basi!
   
Loading...