Kuna mtu aliandika humu kuwa wazazi wetu ni masikini ndo maana tunalalamika sana.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna mtu aliandika humu kuwa wazazi wetu ni masikini ndo maana tunalalamika sana....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Prophet, Jun 26, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo post nimeitafuta sana, lakini nimeikosa...ama ame-edit ama ame delete.

  lakini ninhependa kuwaonya ndugu zangu wa CCM ambao ni memba wa forum hii kwamba poasts zenu zenye mrengo wa kupinga mabadiliko ya kiutawala wa nchi yetu tunazisoma na kuzielewa vema. Hata sisi tunajua kuwa wazazi wetu ni masikini, tena wengi wamenyimwa elimu ya uraia. hawajui haki zao. wamepandikizwa hulka ya uwoga na elimu ya mapokeo tangu enzi za utawala wa chama kimoja chini ya julius kambarage. hili hata sisi watoto wa walalahoi linatusikitisha sana kwani ukihubiri mabadiliko, wakati mwingine wazazi wetu hawa masikini wa vijijini ama wanakuwa hawaelewi ama hawataki kueleweshwa kutokana na kuwa na fikra pandikizi.

  lakini thread ya bwana mmoja iliyokuwa ikikashifu wazazi wetu masikini mimi ilinigusa sana. nilitamani niiprint lakini nilikuwa natumia simu. sikuwa na jinsi na ilikuwa usiku.

  Leo hii CCM iko madarakani kwa sababu ya wazazi wazazi na ndugu zetu walioko vijijini wasio na uwezo hata wa kununua tisheti, kanga, vitenge, kofia na vilemba. wanasubiri kina Nape Nnauye na Sophia Simba wapite wawagawie. halafu wachague CCM. kombe lifunikwe. mwanaharamu apite.

  Matusi haya yanatia uchungu. Labda aliyetukana hakujua alichokuwa akifanya, ama alijua lakini amejawa na akili za kihafidhina kwamba kizazi chetu masikini cha vijijini hakiwezi kung'amua madhambi ya chama ambacho wamekuwa wakikichagua kwa ujira wa tisheti na kofia.

  One thing...Kizazi cha ndugu zetu mazikini, wazazi wetu masikini. Kinaamka.

  The wave of change is unstoppable. Let's witness as more facts are revealed.

  The Prohet.
   
 2. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nliye andika nimim kweli wazazi wenu maskini ndomana mnalalamika sana wengekuwa kwenye position nzuri mngekuwa hamna mda mngekuwa bize na mambo ya maana humu mnapiga domo ili mabadiliko yatokee labda cdm itawakumbuka nanyinyi kwenye ufalme wake
   
 3. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa namna ninavojua mpo wengi muliotumwa na nape kuja kujiunga jf. lakini siamini kama nape amewatuma kuja kutukana wazazi wetu. labda nape inabidi apitie tena orodha yake ili kuona kama kuna watu wanaweza kuvuliwa magamba, hasa wewe.
   
 4. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  MASIKINI SIKU ZOTE UITAWATU MASIKINI,
  kwa mwenyeti wa ccm wazazi wake walikuwa na uwezo gani?
  mbona anakuwa vya nchi ni kulalaka au kpiga domo?

  Wewe na chenge nani mwenye hela ya mpaka mabilioni naita visent? mbona halalamiki

  waziri mkuu ni mtoto wa mkulima mbona halalamiki anakuwa matunda ya nchi?

  Nape kwao kuna uwezo gani mbona yupa hapa JF halalamiki?
  hacha utoto wako
  MTUMWA WE,
  PUMB....U
   
Loading...