Nini kitatokea ndani ya ccm endapo....

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Heshima mbele wakuu!!naombeni kueleweshwa juu ya hili jambo,hivi karibuni 2mekua 2kisikia kuwa ccm imejivua gamba,na wanachama wake wote wanao2humiwa kwa kashfa za ufisadi{hasa lowasa,rostam na chenge}wakipewa muda maalum{yani 90days}wajiondoe kwenye chama,je naweza kuelezwa,endapo hao jamaa watatu watapigwa na hao magamba,nin kitatokea ndani ya hcho chama?
 
Back
Top Bottom