Muungano niguo isiokubali tena viraka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muungano niguo isiokubali tena viraka.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Jun 26, 2011.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=1][/h]Written by Hassan10 // 26/06/2011 // Habari // No comments

  [​IMG]Mh Nahodha asingwa apate kuimaliza vizuri Z'bar ambiwa(Good boy).

  Kama kweli Wzanzibar tumezamiria kweli kweli kuwa huru ktk taifa letu la
  watu wa Zanzibar, Basi kuvunja Muungano ni kitu cha sekunde tu. kwanza
  Katika makubaliano ya Muungano hakuna kitu kulazimishana, na Muungano
  nimakubaliano ya pande mbili husika, ikiwa upande mmoja watu wake
  watahisi hawataki tena Muungano basi hakuna chama wala kiongozi yoyote
  anaweza kupinga mamuzi au matakwa ya wananchi wenyewe,
  Na kwenda kinyume na mamuzi ya wananchi basi inamana ni U-dictator na
  nikujishukulia jukumu na zima mbele ya M/Muungu. hivi sasa kiuhakika
  Muungano hauna tena nafasi ya mapenzi na Wazanzibar na wanaoba kila leo
  uvunjike na ubakie ujirani tu mwema kama vile Kenya na Unganda.
  Hii nikutokana na vitimbi vya Muungano na udanyanyifu ulozidi wa
  Tanganyika ndio iliosababisha Wzanzibar kuukana hazarani na kuushukia,
  hakuna shaka kuwa kero za Muungano zimekuwa nyingi na kutatulika nitabu
  kwa vile tayari zamira halisi ya Muungano kwa upande wa Zanzibar
  imeshaondoka.
  Kwanza Wzanzibar waleo sio wale wakuburuzwa tu na kuvungwa vungwa,
  zamira ya Muungano ni udugu,upendo ushirikiano na ummoja? jee hayo yapo
  ktk mfumo huu tulio nao wa Muungano? Muungano ulikuwa ni kati ya watu
  wawili yani Tanganyika na Zanzibar? leo tumeletewa mtu mpya from no
  where? ana-act kama Tanganyika na Tanganyika ambayo ndio mshirika wa
  Muungano tunambiwa imekufa ktk Tumbo la Tanzania ndio inashukuwa nafasi
  yake.
  Huu ni utapeli tena mbaya na nihatari kwa Zanzibar kumezwa ktk mdomo wa
  Tanzania, halafu wenzetu kujifanya eti wana akili nyingi ni kumshukuwa
  Rais wa watu wa Zanzibar kumfanya Waziri asio na wizara malum? Sasa kwa
  mtazamo wa viongozi wetu wa smz jee sifa ya Muungano au kiungo cha
  Muungano kikowapi hapo kinacho waunganicha Wzanzibar kusema bado wamo
  ktk Muungano ikiwa Rais alopigiwa kura na Watu wa Zanzibar leo ni Waziri
  asio na wizara?.
  Hii ni viongozi wetu kutuponza na kuipeleka kubaya nchi yatu kutokana na
  matamanio yao binafsi, lakini wasi sahau kila kiongozi atahukumiwa kwa
  asari alizo watia Wazanzibar, hivi sasa kutokana na unafiki wa viongozi
  wetu kuona kuwa Tanganyika wana vutwa na Wazanzibar wana wavuta ndio
  unawaona hasa ule unafiki wao wa double face unajitokeza.
  Utaona viongozi wa smz husema Muungano una tunyoyo, Tanganyika ina
  tuzulumu, sijuwi Zanzibar ni nchi mafuta sia Muungano nyoko nyoko nyingi
  lakini wao ndio wanafki wakubwa na kikwazo kwa Wzanzibar kujinasua ktk
  minyororo ya Mkoloni mweusi Tanganyika.
  Kama kweli Muungano una inyoyo Zanzibar kukuwa kiuchumi na kimaendeleo
  basi njia ni rahisi tu, nikusema katika Baraza la uwakilishi kuwa mchezo
  basi,tuangalie Tanzania haito fufuka kwa jina lake Tanganyika na tuone
  wataendelea kututawala kinguvu au itakuwa ndio mwisha wa Kero na
  Matatizo ya Muungano.
  Lakini viongozi wetu ndio wanaotubebesha mziko na wao kubebe jukumu
  mbele ya Allah, maana utaskia kiongozi husema matatizo na kero za
  Muungano kila siku zinazidi kuiminya Zanzibar lakini ukweli halisi
  mwisha ya hayo husema tulinde Muungano na tuenzi abooo.
  Vitu tulinde kitu kilichokuwa hakiko? kama tumeungana na Tanganyika,
  Tanganyika imeshakufa na haitaju tena, sasa na sisi Zanzibar tuiowe tuwe
  na Nchi mmoja? jee kero za Muungano zitapungua au zitazidi tukicha uwa
  Utaifa wa Zanzibar?.
  wake up SMz siasa munayo nyinyi Tanganyika wao wako ktk kukuza uchumi
  wao nyiyi hutumiliwa siasa kuwa ndio kitanzi chakuisarenda Zanzibar na
  rasilimali zake, iteni kura ya maoni kuwauliza Wzanzibar hatma ya nchi
  yao sio mushukuwe majukumu makubwa musio weza kujibu mbele ya haki.
  Kama mumeshindwa viongozi au munawaonelea vibaya Tanganyika basi wao
  hawawaoneni vibaya wala huruma lao moja na nikuimeza Zanzibar ishara na
  asari nyingi ziko wazi kuwa wenzetu hawakutaka Muungano kwa heri,
  wasingali iowa Tanganyika na Wakavaa koti la Ubaba Tanzania nikuliwa
  akili smz na kutubebesha mzigo mzito Zanzibar.
  Kama mumesha owa au kujenga bara basi hizo zote sio sababu za
  kujibebesha jukumu la Wzanzibar ktk hatma ya nchi yao, mutakuwa na lipi
  mbele ya Allah la kumueleza? hamujuwi kuviuza visiwa ni sawa na
  kushukuwa mali ya mayatima na kuwapa wasio husika kurisi?
  Mungu ibariki Zanzibar na Wazanzibar wote.
   
Loading...